title : Uhuru Kenyatta Kuapishwa Jumanne kwa Muhula wa Pili wa Urais nchini Kenya
kiungo : Uhuru Kenyatta Kuapishwa Jumanne kwa Muhula wa Pili wa Urais nchini Kenya
Uhuru Kenyatta Kuapishwa Jumanne kwa Muhula wa Pili wa Urais nchini Kenya
Rais Kenyatta sasa anatarajia kuapishwa kuwa Rais kwa muhula wa pili baada ya Mahakama ya Juu kufutilia mbali kesi ambazo zilikuwa zinapinga ushindi wake katika uchaguzi wa marudio uliofanyika tarehe 26 Oktoba.
Kifungu 141(1b) cha Katiba ya Kenya kinasema Rais anafaa kuapishwa siku ya saba inayofuata siku ya kutolewa kwa uamuzi wa mahakama wa kuidhinisha uchaguzi iwapo kulikuwa na kesi iliyokuwa imewasilishwa.
Rais kwa mujibu wa katiba anafaa kuapishwa hadharani mbele ya Jjai Mkuu au Naibu Jaji Mkuu.
Hivyo makala Uhuru Kenyatta Kuapishwa Jumanne kwa Muhula wa Pili wa Urais nchini Kenya
yaani makala yote Uhuru Kenyatta Kuapishwa Jumanne kwa Muhula wa Pili wa Urais nchini Kenya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uhuru Kenyatta Kuapishwa Jumanne kwa Muhula wa Pili wa Urais nchini Kenya mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/uhuru-kenyatta-kuapishwa-jumanne-kwa.html
0 Response to "Uhuru Kenyatta Kuapishwa Jumanne kwa Muhula wa Pili wa Urais nchini Kenya"
Post a Comment