title : KUTOKA KUUZA MAJI HADI KUWAVALISHA YANGA,DIAMOND PLATINUMZ NA BAKHARESA
kiungo : KUTOKA KUUZA MAJI HADI KUWAVALISHA YANGA,DIAMOND PLATINUMZ NA BAKHARESA
KUTOKA KUUZA MAJI HADI KUWAVALISHA YANGA,DIAMOND PLATINUMZ NA BAKHARESA

Jeffrey ambaye maisha yake ya nyuma yalikuwa na changamoto nyingi ambazo zilipelekea kuuza maji ili kuifanya familia ijikimu. Kwa uhakika mafanikio yake ya leo yanachangiwa sana na makuzi yake yaliyomtayarisha kupambana na kufanikiwa.
Baada ya kumaliza shahada yake ya chuo kikuu, Jeffey hakutaka kuajiriwa bali kujiajiri kama mshonaji wa nguo kupitia chapa yake ya Speshoz. Hadi sasa ameajiri watu wengi na kufanikiwa kutengeneza jezi za Yanga, kuwavesha Diamond Platnumz, Mfanya biashara maarufu Bakhresa, Wabunge , Mawaziri na Maharusi wengi.
Simulizi ya Jeffrey imo kwenye kipindi maalum cha kukuza Ujasiriamali chenye kulenga zaidi vijana kiitwacho Extra Mile Show ambacho kimezinduliwa leo jijini Dar es salaam.Wakieleza mkakati wao Extra Mile Show walisema vipindi hivi vinavyopatikana kwenye mitandao na youtube, facebook, instagram na twitter kinalenga kuwawezesha vijana kutambua fursa na kubadilishana uzoefu.
Hivyo makala KUTOKA KUUZA MAJI HADI KUWAVALISHA YANGA,DIAMOND PLATINUMZ NA BAKHARESA
yaani makala yote KUTOKA KUUZA MAJI HADI KUWAVALISHA YANGA,DIAMOND PLATINUMZ NA BAKHARESA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUTOKA KUUZA MAJI HADI KUWAVALISHA YANGA,DIAMOND PLATINUMZ NA BAKHARESA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/kutoka-kuuza-maji-hadi-kuwavalisha.html
0 Response to "KUTOKA KUUZA MAJI HADI KUWAVALISHA YANGA,DIAMOND PLATINUMZ NA BAKHARESA"
Post a Comment