title : Wananchi Wapongeza Tanzania Kutajwa Kinara Uchumi Shirikishi
kiungo : Wananchi Wapongeza Tanzania Kutajwa Kinara Uchumi Shirikishi
Wananchi Wapongeza Tanzania Kutajwa Kinara Uchumi Shirikishi

Akizungumza katika Mahojiano maalum mjini Dodoma Bibi Anyangwe Lupembe amesema ni jambo la kupongeza kwa hatua hiyo kwani haya ni matunda na juhudi kubwa zinazochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Tano ikiwemo utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo kama ujenzi wa reli wa reli ya Kisasa (Standard Gauge) na Uzalishaji umeme.
Akifafanua Lupembe amesema kuwa kila mwananchi kwa sasa anaelewa kuwa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Tano ni kuwahudumia wananchi wanyonge kwa kuhakikisha kuwa huduma muhimu zinapatikana kama Madawa, Elimu, miundo mbinu hali inayowapa fursa wananchi kushiriki katika shughuli za uchumi ikiwemo uzalishaji kutokana na mazingira wezeshi yaliyopo kwa sasa.
Aliongeza kuwa kasi ya ujenzi wa miundombinu kama barabara inawawezesha wananchi kushiriki katika uzalishaji na shughuli za maendeleo katika maeneo mbalimbali hapa nchi, hivyo uchumi kumilikiwa na wananchi.
Hivyo makala Wananchi Wapongeza Tanzania Kutajwa Kinara Uchumi Shirikishi
yaani makala yote Wananchi Wapongeza Tanzania Kutajwa Kinara Uchumi Shirikishi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wananchi Wapongeza Tanzania Kutajwa Kinara Uchumi Shirikishi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/wananchi-wapongeza-tanzania-kutajwa.html
0 Response to "Wananchi Wapongeza Tanzania Kutajwa Kinara Uchumi Shirikishi"
Post a Comment