WASHINDI WA SPRITE BBALL KINGS WAPATIWA ZAWADI ZAO

WASHINDI WA SPRITE BBALL KINGS WAPATIWA ZAWADI ZAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WASHINDI WA SPRITE BBALL KINGS WAPATIWA ZAWADI ZAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WASHINDI WA SPRITE BBALL KINGS WAPATIWA ZAWADI ZAO
kiungo : WASHINDI WA SPRITE BBALL KINGS WAPATIWA ZAWADI ZAO

soma pia


WASHINDI WA SPRITE BBALL KINGS WAPATIWA ZAWADI ZAO

Mkuu wa Vipindi wa Kituo cha Redio EA Nasa Kingu akimkabidhi Nahodha wa Mchenga Bball Stars Mohamed Yusuph kitita cha Shilingi Milioni 10 baada ya kufanikiwa kuwa mabingwa wa michuano ya Sprite BBall Kings 2018 yaliyomalizika mwishoni mwa wiki, kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Nchini (TBF) Mwenze Kabinda akishuhudia tukio hilo.

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
KAMPUNI ya Sprite kupitia kwa muandaaji wa wa Michuano ya Sprite Bball Kings kituo cha Luninga cha Eatv na Ra Rredio wamekabidhi zawadi kwa washindi wa michuano hiyi kwa  2018 yaliyomaliza mwishoni mwa wiki iliyopita.

Zawadi hizo zilienda kwa mshindi wa kwanza ambaye aliweza kutetea ubingwa Mchenga Bball Stars, mshindi wa pili Flying Dribblers na mchezaji bora wa mashindano hayo (MVP) Baraka Sadick kutoka Mchenga Bball Stars.

Wakikabidhiwa zawadi hizo mbele ya uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu (TBF) washindi hao wamewashukuru sana Eatv na Sprite kwa kuleta mashindano hayo ambayo yamekuwa na tija kubwa sana kwa vijana wanaocheza mchezo wa mpira wa kikapu.

Akizungumza kwa niaba ya Mchenga Bball Stars, Nahodha wa timu hiyo Mohamed Yusuph amesema kuwa mashindano hayakuwa rahisi ingawa wamefanikiwa kuchukua ubingwa kwa mara nyingine tena kwani kwa mwama huu ushindano ulikua mkubwa sana.

Yusuph amesema, wanaenda kujiandaa kwa ajili ya michuano inayofuata mwakani na huu hautakuwa mwisho bali wataendelea kujituma kuhakikisha wanafanya vizuri tena.

Kwa upande wa MVP Baraka Sadick amesema kuwa yeye hana maneno mengi sana ila vitendo vyake vinakuwa uwanjani, huu ni mwaka wake wa kwanza kushiriki kwakuwa msimu wa kwanza hakushiriki ila anaamini atakapoendelea kushiriki atajituma vyema ili afanye vizuri zaidi.

Naye Mkuu wa Masoko wa EATV Roy amesema kuwa kwa michuano ya mwaka huu ilikua na ushindani mkubwa sana na amewataka washiriki wajiandae kwani mashindano ya mwakani yatakuwa zaidi huku akiahidi zawadi kutangazwa mapema zaidi.

Roy pia amemuahidi MVP Baraka Sadick kwenda nae katika shule aliyosoma kwa ajili ya kupeleka baadhi ya vitu mbalimbali ili wafaidike na matunda yake na kuwapa hamasa kuwa mchezo wa kikapu unafaida kubwa sana katika kujiendeleza kiuchumi.


Hivyo makala WASHINDI WA SPRITE BBALL KINGS WAPATIWA ZAWADI ZAO

yaani makala yote WASHINDI WA SPRITE BBALL KINGS WAPATIWA ZAWADI ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WASHINDI WA SPRITE BBALL KINGS WAPATIWA ZAWADI ZAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/washindi-wa-sprite-bball-kings-wapatiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WASHINDI WA SPRITE BBALL KINGS WAPATIWA ZAWADI ZAO"

Post a Comment