WAZIRI ATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA WATUMISHI TPSC KUPIGWA MSASA

WAZIRI ATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA WATUMISHI TPSC KUPIGWA MSASA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI ATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA WATUMISHI TPSC KUPIGWA MSASA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI ATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA WATUMISHI TPSC KUPIGWA MSASA
kiungo : WAZIRI ATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA WATUMISHI TPSC KUPIGWA MSASA

soma pia


WAZIRI ATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA WATUMISHI TPSC KUPIGWA MSASA

Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dkt.Henry Mambo (wa pili kushoto) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo huku Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt.(Mstaafu) George Mkuchika (wa tatu kushoto) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kukitembelea chuo hicho tawi la Singida mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi wa Chuo cha utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) tawi la Singida, Sijali Kolojelo akisoma risala ya mafanikio na changamoto za TPSC tawi la Singida wakati Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) George Mkuchika (katikati) alipotembelea TPSC tawi la Singida mwishoni mwa wiki kushoto kwa Waziri wa ni Mkuu wa TPSC Dkt. Henry Mambo.
Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dkt.Henry Mambo aliyesimama akisoma risala fupi ya makaribisho kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt.(Mstaafu) George Mkuchika aliyekaa mara baada ya kuwasili TPSC tawi la Singida mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya watumishi wa TPSC tawi la Singida na wageni wengine wakimsiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt.(Mstaafu) George Mkuchika (hayupo pichani) mara baada ya kuwasili TPSC tawi la Singida mwishoni mwa wiki.


Hivyo makala WAZIRI ATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA WATUMISHI TPSC KUPIGWA MSASA

yaani makala yote WAZIRI ATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA WATUMISHI TPSC KUPIGWA MSASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI ATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA WATUMISHI TPSC KUPIGWA MSASA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/waziri-ataka-wakurugenzi-wa-halmashauri.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI ATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA WATUMISHI TPSC KUPIGWA MSASA"

Post a Comment