SPIKA NDUGAI AZINDUA HOTELI YA FANTASY MSALATO, MJINI DODOMA

SPIKA NDUGAI AZINDUA HOTELI YA FANTASY MSALATO, MJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI AZINDUA HOTELI YA FANTASY MSALATO, MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI AZINDUA HOTELI YA FANTASY MSALATO, MJINI DODOMA
kiungo : SPIKA NDUGAI AZINDUA HOTELI YA FANTASY MSALATO, MJINI DODOMA

soma pia


SPIKA NDUGAI AZINDUA HOTELI YA FANTASY MSALATO, MJINI DODOMA

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Hoteli ya Fantasy iliyojegwa katika Kata ya Msalato, Mjini Dodoma. Kulia kwake ni Mmiliki wa Hoteli hiyo Mhe. Mussa Hassan Mussa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Amani, Zanzibar na ayefuatia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula . Wengine katika picha kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira Mhe Antony Mavunde na Mbunge wa Kijitoupele, Mhe. Shamsi Vuai Nahodha.

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akiweka Jiwe la msingi la Ujenzi wa Awamu ya pili ya Hoteli ya Fantasy iliyopo Msalato, Mjini Dodoma. Kulia kwake ni Mmiliki wa Hoteli hiyo Mhe. Mussa Hassan Mussa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Amani, Zanzibar na kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira Mhe Antony Mavunde
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akipanda Mti mara baada ya kuzindua Hoteli ya Fantasy iliyojegwa katika Kata ya Msalato, Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akizungumza wakati alipokwenda kuzindua Hoteli ya Fantasy iliyojegwa katika Kata ya Msalato, Mjini Dodoma. Kulia kwake ni Mmiliki wa Hoteli hiyo Mhe. Mussa Hassan Mussa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Amani, Zanzibar. Wengine katika picha kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde na anayefuatia ni Mbunge wa Kijitoupele, Mhe. Shamsi Vuai Nahodha.


PICHA NA BUNGE


Hivyo makala SPIKA NDUGAI AZINDUA HOTELI YA FANTASY MSALATO, MJINI DODOMA

yaani makala yote SPIKA NDUGAI AZINDUA HOTELI YA FANTASY MSALATO, MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AZINDUA HOTELI YA FANTASY MSALATO, MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/spika-ndugai-azindua-hoteli-ya-fantasy.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA NDUGAI AZINDUA HOTELI YA FANTASY MSALATO, MJINI DODOMA"

Post a Comment