RC TABORA AHAKIKISHA ULINZI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WANAOFICHUA MAOUVU YA KAMPUNI.

RC TABORA AHAKIKISHA ULINZI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WANAOFICHUA MAOUVU YA KAMPUNI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC TABORA AHAKIKISHA ULINZI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WANAOFICHUA MAOUVU YA KAMPUNI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC TABORA AHAKIKISHA ULINZI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WANAOFICHUA MAOUVU YA KAMPUNI.
kiungo : RC TABORA AHAKIKISHA ULINZI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WANAOFICHUA MAOUVU YA KAMPUNI.

soma pia


RC TABORA AHAKIKISHA ULINZI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WANAOFICHUA MAOUVU YA KAMPUNI.


Na Tiganya Vincent

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bw. Aggrey Mwanri amesema wachimbaji wadogo wadogo waliofichua maovu yanayofanywa na Watendaji wa Ofisi ya Madini kwa kushirikiana na Kampuni zilizopewa leseni za kuchimba madini katika eneo la Kitunda wilayani Sikonge wasiwe na wasiwasi kwani Serikali itawashika mkono ili wasidhurike.

Bw. Mwanri alitoa kauli hiyo jana katika eneo la Kitunda wilayani Sikonge kwenye Mkutano wa hadhara uliowahusisha wachimbaji wadogo wadogo , Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa na Wilaya ya Sikonge na viongozi wa Kampuni zenye leseni ya uchimbaji wa madini kufuatia malalamiko kuwa wachimbaji hao wanaosema ukweli wamekuwa wakipata vitisho kutoka kwa wamiliki wa migodi na baadhi ya watendaji.

Alisema kuwa wamesema ukweli na kufichua maovu yanayoendelea katika eneo la machimbo hayo, Serikali inawahakikishia ulinzi wa kuhakikisha kuwa hakuna mtu yoyote atayenyanyaswa kwa kufichua uovu unafanywa na Kampuni za Uchimbaji Madini katika eneo hilo.

Mkuu huyo wa Mkoa alimwagiza Mkuu wa Wilaya ya Sikonge washirikiane na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Sikonge kuhakikisha kuwa vijana wote walieleza uovu wa watendaji wa Ofisi ya Madini ya Mkoa kwa kushirikiana na Kampuni za madini wanakuwa salama na kuendelea na kazi zao.

Alisema kuwa kiongozi yoyote awe wa Serikali au Kampuni ya Madini asijaribu kuwagusa vijana wote walioeleza matatizo mbalimbali yanayowakabili vingine atakayewagusa atakuwa anakosa sifa za kuendelea kuwa mtumishi wa umma au kuendelea na kazi zake za uchimbaji madini.

Mkuu huyo wa Mkoa alisema kuwa Serikali hii iko makini inataka kila mtu au Kampuni itekeleza wajibu wake kama ni kulipa kodi za Serikali ilipe na sio kuendesha shughuli zake kiujanjanja tu na hivyo kuikosesha Serikali mapato.





Hivyo makala RC TABORA AHAKIKISHA ULINZI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WANAOFICHUA MAOUVU YA KAMPUNI.

yaani makala yote RC TABORA AHAKIKISHA ULINZI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WANAOFICHUA MAOUVU YA KAMPUNI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC TABORA AHAKIKISHA ULINZI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WANAOFICHUA MAOUVU YA KAMPUNI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/rc-tabora-ahakikisha-ulinzi-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC TABORA AHAKIKISHA ULINZI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WANAOFICHUA MAOUVU YA KAMPUNI."

Post a Comment