title : Mamlaka za Maji Nnchi Zatakiwa Kuanzisha Vituo Maalum vya Kupokelea Malalamiko ya Wateja
kiungo : Mamlaka za Maji Nnchi Zatakiwa Kuanzisha Vituo Maalum vya Kupokelea Malalamiko ya Wateja
Mamlaka za Maji Nnchi Zatakiwa Kuanzisha Vituo Maalum vya Kupokelea Malalamiko ya Wateja
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Issack Aloyce Kamwele (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Everist Ndikilo pamoja na Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Dawasco Prof. Toli Mbwete (kushoto) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi mpya leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Issack Aloyce Kamwele akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Tano ya Wakurugenzi wa Dawasco leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Meja Jenerali Kitundu, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ally Hapi na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Everist Ndikilo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo akifafanua jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Tano ya Wakurugenzi wa Dawasco leo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Issack Aloyce Kamwele.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Everist Ndikilo akielezea jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Tano ya Wakurugenzi wa Dawasco leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Issack Aloyce Kamwele.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Maji Safi na Maji taka Dar es Salaam (Dawasco) Mhandisi Cyprian Luhemeja akiwasilisha taarifa fupi kuhusu Shirika hilo mbele ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Issack Aloyce Kamwele (hayupo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Tano ya Wakurugenzi wa Dawasco leo Jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala Mamlaka za Maji Nnchi Zatakiwa Kuanzisha Vituo Maalum vya Kupokelea Malalamiko ya Wateja
yaani makala yote Mamlaka za Maji Nnchi Zatakiwa Kuanzisha Vituo Maalum vya Kupokelea Malalamiko ya Wateja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mamlaka za Maji Nnchi Zatakiwa Kuanzisha Vituo Maalum vya Kupokelea Malalamiko ya Wateja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mamlaka-za-maji-nnchi-zatakiwa.html
0 Response to "Mamlaka za Maji Nnchi Zatakiwa Kuanzisha Vituo Maalum vya Kupokelea Malalamiko ya Wateja"
Post a Comment