MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA
kiungo : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA

soma pia


MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Wafanyabiashara wa Pikipiki na Vipuri  vyake pamoja na baadhi ya wabunge, ofisini kwake, Bungeni mjini Dodoma Mei 26, 2017. Kulia kwake ni Waziri wa Fedha na Uchumi, Dkt. Philip Mpango. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbulu  Vijijini, Fratei Massay kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 26, 2017. Wapili kulia ni Mbunge wa Iramba Mashariki, Allan Kiula. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Wabunge wa Viti Maalum, Amina Makiragi na Anna Lupembe kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Mei 26, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanachuo wa Chuo Kikuu cha Makumira kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 26, 2017. Kushoto ni  Mbunge wa Newala Mjini, Capt. George Mkuchika. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA

yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/matukio-mbalimbali-ya-waziri-mkuu_26.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA"

Post a Comment