title : NDUGAI AMTEMBELEA NA KUFANYA NAE MAZUNGUMZO RAIS WA IRAN ALIYEAPISHWA JANA
kiungo : NDUGAI AMTEMBELEA NA KUFANYA NAE MAZUNGUMZO RAIS WA IRAN ALIYEAPISHWA JANA
NDUGAI AMTEMBELEA NA KUFANYA NAE MAZUNGUMZO RAIS WA IRAN ALIYEAPISHWA JANA
Mheshimiwa Spika Job Ndugai leo amemtembelea Ikulu na kufanya mazungumzo na Rais wa Iran alieapishwa jana,Mhe Hassan Rouhani ambapo Mheshimiwa Spika amempongeza kuteuliwa kwake kwa mara ya pili na kumuahidi ushirikiano wa karibu baina ya Bunge la Tanzania na la Iran. Mheshimiwa Spika alikuwa ni miongoni mwa wageni mashuhuri walioalikwa kushuhudia kuapishwa kwa Rais Rouhani katika sherehe zilizofanyika kwenye Bunge la Iran mjini Tehran.
Hivyo makala NDUGAI AMTEMBELEA NA KUFANYA NAE MAZUNGUMZO RAIS WA IRAN ALIYEAPISHWA JANA
yaani makala yote NDUGAI AMTEMBELEA NA KUFANYA NAE MAZUNGUMZO RAIS WA IRAN ALIYEAPISHWA JANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NDUGAI AMTEMBELEA NA KUFANYA NAE MAZUNGUMZO RAIS WA IRAN ALIYEAPISHWA JANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ndugai-amtembelea-na-kufanya-nae.html
0 Response to "NDUGAI AMTEMBELEA NA KUFANYA NAE MAZUNGUMZO RAIS WA IRAN ALIYEAPISHWA JANA"
Post a Comment