FIFA YAJIANDAA KUMWAGA FEDHA TFF.

FIFA YAJIANDAA KUMWAGA FEDHA TFF. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa FIFA YAJIANDAA KUMWAGA FEDHA TFF., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : FIFA YAJIANDAA KUMWAGA FEDHA TFF.
kiungo : FIFA YAJIANDAA KUMWAGA FEDHA TFF.

soma pia


FIFA YAJIANDAA KUMWAGA FEDHA TFF.

Klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania zikiwemo za Simba na Yanga huenda zikapata mgao wa fedha kutoka kutoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), endapo vitatimiza vigezo vya kupata fungu hilo, imeelezwa.

Taarifa imeeleza kuwa kauli hiyo ilitolewa baada ya FIFA kutangaza itaanza kuipa Tanzania fedha za maendeleo ambazo kwa muda wa mikaa mitatu ilisitisha kuzitoa baada ya TFF kushindwa kuwasilisha ripoti nzuri ya mapato na matumizi.

Aidha, taarifa hiyo imesema kuwa Karia ameeleza fedha hizo zitaelekezwa katika program za vijana na ugawajwi wake kwa vilabu utazingatia utekelezaji ambao utaonekana kuwa wazi.

Karia alisema moja ya vipaumbele vyake alivyoviweka ni kuhakikisha anakuza soka la vijana  ambapo hivi sasa tayari mipango mikakati imeshaanza.


Hivyo makala FIFA YAJIANDAA KUMWAGA FEDHA TFF.

yaani makala yote FIFA YAJIANDAA KUMWAGA FEDHA TFF. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala FIFA YAJIANDAA KUMWAGA FEDHA TFF. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/fifa-yajiandaa-kumwaga-fedha-tff.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "FIFA YAJIANDAA KUMWAGA FEDHA TFF."

Post a Comment