UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA (TWPG) WAJADILIANA KUHUSU UJENZI WA VITUO KWA AJILI YA WANAWAKE WANAOHASIRIKA KINJISIA - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA (TWPG) WAJADILIANA KUHUSU UJENZI WA VITUO KWA AJILI YA WANAWAKE WANAOHASIRIKA KINJISIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA (TWPG) WAJADILIANA KUHUSU UJENZI WA VITUO KWA AJILI YA WANAWAKE WANAOHASIRIKA KINJISIAkiungo :
UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA (TWPG) WAJADILIANA KUHUSU UJENZI WA VITUO KWA AJILI YA WANAWAKE WANAOHASIRIKA KINJISIA
UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA (TWPG) WAJADILIANA KUHUSU UJENZI WA VITUO KWA AJILI YA WANAWAKE WANAOHASIRIKA KINJISIA
Mwenyekiti Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta (katikati)akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa umoja huo (hawapo kwenye picha) wakati wa semina ya kushauriana na kujadiliana kujenga vituo kwa ajili ya wanawake wanaohasirika kijinsia iliyofanyika leo tarehe 5 februari, 2019 katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Umoja huo, Mhe. Susan Lyimo na Katibu Mhe. Lolensia Bukwimba
Mtaalamu wa Masuala ya Jinsia, Bajeti kwa Mtazamo wa kijinsia na Haki za Binadamu, Ndg. Gemma Akilimali akizungumza na wajumbe wa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) katika semina ya kushauriana na kujadiliana kujenga vituo kwa ajili ya wanawake wanaohasirika kijinsia iliyofanyika leo tarehe 5 februari, 2019 katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Muwezeshaji kutoka TGNP, Ndg. Zainab Mmary akizungumza na Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) wakati wa semina ya kushauriana na kujadiliana kujenga vituo kwa ajili ya wanawake wanaohasirika kijinsia iliyofanyika leo tarehe 5 februari, 2019 katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Mjumbe Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Zainab katimba akizungumza na wajumbe wa umoja huo pamoja na wawezeshaji kutoka TGNP wakati wa semina ya kushauriana na kujadiliana kujenga vituo kwa ajili ya wanawake wanaohasirika kijinsia iliyofanyika leo tarehe 5 februari, 2019 katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Viongozi kutoka Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) wakiwa katika semina ya kushauriana na kujadiliana kujenga vituo kwa ajili ya wanawake wanaohasirika kijinsia iliyofanyika leo tarehe 5 februari, 2019 katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Mwenyekiti Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta, wa pili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Umoja huo, Mhe. Susan Lyimo, Katibu Mhe. Lolensia Bukwimba (kulia) na Mratibu, Ndg. Angelina Sanga.
Wajumbe Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) wakiwa katika semina ya kushauriana na kujadiliana kujenga vituo kwa ajili ya wanawake wanaohasirika kijinsia iliyofanyika leo tarehe 5 februari, 2019 katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
|
Hivyo makala UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA (TWPG) WAJADILIANA KUHUSU UJENZI WA VITUO KWA AJILI YA WANAWAKE WANAOHASIRIKA KINJISIA
yaani makala yote UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA (TWPG) WAJADILIANA KUHUSU UJENZI WA VITUO KWA AJILI YA WANAWAKE WANAOHASIRIKA KINJISIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA (TWPG) WAJADILIANA KUHUSU UJENZI WA VITUO KWA AJILI YA WANAWAKE WANAOHASIRIKA KINJISIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/umoja-wa-wabunge-wanawake-tanzania-twpg_5.html
0 Response to "UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA (TWPG) WAJADILIANA KUHUSU UJENZI WA VITUO KWA AJILI YA WANAWAKE WANAOHASIRIKA KINJISIA"
Post a Comment