Breaking News: Tundu Lissu Akamatwa na Jeshi la Polisi Akiwa Kisutu

Breaking News: Tundu Lissu Akamatwa na Jeshi la Polisi Akiwa Kisutu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Breaking News: Tundu Lissu Akamatwa na Jeshi la Polisi Akiwa Kisutu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Breaking News: Tundu Lissu Akamatwa na Jeshi la Polisi Akiwa Kisutu
kiungo : Breaking News: Tundu Lissu Akamatwa na Jeshi la Polisi Akiwa Kisutu

soma pia


Breaking News: Tundu Lissu Akamatwa na Jeshi la Polisi Akiwa Kisutu

Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amekamatwa  leo Jumatatu mchana akitokea Mahakama ya Kisutu.

Mwanasheria huyo alikuwa na kesi ya tuhuma za uchochezi lakini pia alikuwa ni wakili kwenye kesi inayomkabili mfanyabiashara Yericko Nyerere mahakamani hapo.

Akielezea ilivyokuwa Ofisa Habari wa Chadema, Tumaini Makene amesema wakati gari la Lissu likiwa liko getini tayari kwa kutoka, likazuiwa na nyuma ya gari yake pia likasimama gari jingine likiwa na askari polisi wenye silaha, kisha wengine wakamfuata na kumwambia yuko chini ya ulinzi na atakiwa kwenda Central Police.

Wakamtaka ashuke kwenye gari lake na apande gari jingine la kwao kwa ajili ya kuelekea Central Police.


Hivyo makala Breaking News: Tundu Lissu Akamatwa na Jeshi la Polisi Akiwa Kisutu

yaani makala yote Breaking News: Tundu Lissu Akamatwa na Jeshi la Polisi Akiwa Kisutu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Breaking News: Tundu Lissu Akamatwa na Jeshi la Polisi Akiwa Kisutu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/breaking-news-tundu-lissu-akamatwa-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Breaking News: Tundu Lissu Akamatwa na Jeshi la Polisi Akiwa Kisutu"

Post a Comment