title : Kubet kumekuwa Kimbilio la Watanzania Vijana Mpaka Wazeee...Mungu Tunusuru na Janga Hili
kiungo : Kubet kumekuwa Kimbilio la Watanzania Vijana Mpaka Wazeee...Mungu Tunusuru na Janga Hili
Kubet kumekuwa Kimbilio la Watanzania Vijana Mpaka Wazeee...Mungu Tunusuru na Janga Hili
Hii michezo ya bahati na sibu sasa imeshika hatamu. Mtanzania haambiliki, hashauriki, wala hasikiliziki linapokuja swala la kubet hasa ligi ya Ulaya inapoanza.
Je hii ni dalili ya kukata tamaa? Hizi nguvu zikiwekwa kwenyw Kilimo na Ujasiliamali hakika tunaweza kutusua. Kama vipi Nchi ianzishe Bahati nasibu ya Taifa kama ile ya Sebodo ili watu washinde baiskeli na zana za kilimo bila kusahau nyumba na viwanja.
Huku tunakoelekea nahisi tumepotea.
AD3

Mida ya Kubet
Hivyo makala Kubet kumekuwa Kimbilio la Watanzania Vijana Mpaka Wazeee...Mungu Tunusuru na Janga Hili
yaani makala yote Kubet kumekuwa Kimbilio la Watanzania Vijana Mpaka Wazeee...Mungu Tunusuru na Janga Hili Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kubet kumekuwa Kimbilio la Watanzania Vijana Mpaka Wazeee...Mungu Tunusuru na Janga Hili mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/kubet-kumekuwa-kimbilio-la-watanzania.html
0 Response to "Kubet kumekuwa Kimbilio la Watanzania Vijana Mpaka Wazeee...Mungu Tunusuru na Janga Hili"
Post a Comment