title : WATU 10 WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KUJIBU MASHTAKA 13 LIKIWEMO LA KUSAFIRISHA BINADAMU KWA NJIA HARAMU
kiungo : WATU 10 WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KUJIBU MASHTAKA 13 LIKIWEMO LA KUSAFIRISHA BINADAMU KWA NJIA HARAMU
WATU 10 WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KUJIBU MASHTAKA 13 LIKIWEMO LA KUSAFIRISHA BINADAMU KWA NJIA HARAMU
Na Karama Kinyuko-Globu ya Jamii.
Washtakiwa wamesomewa mashtaka yao na Wakili wa Serikali Nassoro Katuga aliyekuwa akisaidiana na Pamela Shinyambala na Mwanaamina Kombakono.
Washtakiwa hao walitajwa kuwa ni, Kashinde Bundala, Said Ally, Mafunda Ali, Abdulrazak Baus, Mwamba Mungia, Hafidhi Said, Abubakari Nzige, Athumani Ngondo, Endrew Mlugu na Ahmed Magogo.
Mbele ya Hakimu Mwandamizi, Godfrey Mwambapa imedaiwa kati ya Oktoba Mosi na Novemba 3/2017 jijini Dar es Salaam mshtakiwa Bundala
chini ya kisingizio cha kuhudhuria mashindano ya Sankuku Judo na mafunzo aliajiri na kuwasafirisha watu tisa, Kwenda Milan nchini Italia kwa ajili ya kufanya kazi kwa nguvu.
Watu hao ni, Ally, Ali, Baus,Mungia Said, Nzige, Nyondo Mlugu na Magogo.
Katuga amedai Oktoba 5/ 2017 huko Mwananyamala, mshtakiwa Bundala alighushi barua ya Oktoba 5,2017 akionyesha kuwa Umoja Judo Klabu umeomba ushiriki wa timu ya Judo ya Tanzania katika mashindano ya 28 ya Sankuku Judo wakati akijua si kweli.
Hivyo makala WATU 10 WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KUJIBU MASHTAKA 13 LIKIWEMO LA KUSAFIRISHA BINADAMU KWA NJIA HARAMU
yaani makala yote WATU 10 WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KUJIBU MASHTAKA 13 LIKIWEMO LA KUSAFIRISHA BINADAMU KWA NJIA HARAMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATU 10 WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KUJIBU MASHTAKA 13 LIKIWEMO LA KUSAFIRISHA BINADAMU KWA NJIA HARAMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/watu-10-wafikishwa-mahakama-ya-kisutu.html
0 Response to "WATU 10 WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KUJIBU MASHTAKA 13 LIKIWEMO LA KUSAFIRISHA BINADAMU KWA NJIA HARAMU"
Post a Comment