TRA YAVIFUNGIA VITUO VYA MAFUTA VISIVYOTUMIA MASHINE ZA KIELEKTRONIKI JIJINI DAR ES SALAAM

TRA YAVIFUNGIA VITUO VYA MAFUTA VISIVYOTUMIA MASHINE ZA KIELEKTRONIKI JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TRA YAVIFUNGIA VITUO VYA MAFUTA VISIVYOTUMIA MASHINE ZA KIELEKTRONIKI JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TRA YAVIFUNGIA VITUO VYA MAFUTA VISIVYOTUMIA MASHINE ZA KIELEKTRONIKI JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : TRA YAVIFUNGIA VITUO VYA MAFUTA VISIVYOTUMIA MASHINE ZA KIELEKTRONIKI JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


TRA YAVIFUNGIA VITUO VYA MAFUTA VISIVYOTUMIA MASHINE ZA KIELEKTRONIKI JIJINI DAR ES SALAAM

Cathbert Kajuna-Kajunason Blog

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imevifungia vituo zaidi ya 10 jijini Dar es Salaam kwa kosa la kuendesha biashara bila mashine ya Kielektroniki. 

Akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa zoezi la kufungia vituo mbalimbali, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Edward Kichere amesema kuwa kwa sasa zoezi hilo linaendelea nchi nzima ili kuumbua vituo vyote vinavyokwepa kulipa kodi.

 "Tuliwapa muda wafunge mashine hizo mpaka mwaka jana 2016 mwishoni lakini mpaka sasa hawajatekeleza agizo hilo hivyo hatuna budi kuvifunga hivyo vituo mpaka pale watakapotekeleza matakwa ya serikali," amesema Kamshna Kichere. 

Kwa upande wa Kamishna wa Mapato ya ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Elijah Mwandumbya amesema wakati umefika kwa wafanyabiashara kufuata makubaliano wanayokuwa wakiwafanya na TRA ili kuepuka usumbufu unaojitokeza kwa sasa. Ameongeza kuwa sheria kali zitachukuliwa kwa wafanyabiashara wote ambao vituo vyao vya mafuta vimefungwa na wakakaidi. Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Edward Kichere (mwenye miwani kulia) akimuhoji msimamizi wa kituo cha GBP cha Sinza Mori jijini Dar es Salaam mara baada ya kufika kwa ajili ya zoezi la kukifungia kituo hicho kwa kukosa kuwa na mashine za kielektroniki. Wengine ni wafanyakazi wa TRA walioambatana nae.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Edward Kichere (aliyenyoosha mkono) akiwahimiza vijana wake wafunge kituo hicho.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Edward Kichere (kushoto) akiwa na  Kamishna wa Mapato ya ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Elijah Mwandumbya (kulia) wakitoa msisitizo.



Hivyo makala TRA YAVIFUNGIA VITUO VYA MAFUTA VISIVYOTUMIA MASHINE ZA KIELEKTRONIKI JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote TRA YAVIFUNGIA VITUO VYA MAFUTA VISIVYOTUMIA MASHINE ZA KIELEKTRONIKI JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TRA YAVIFUNGIA VITUO VYA MAFUTA VISIVYOTUMIA MASHINE ZA KIELEKTRONIKI JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/tra-yavifungia-vituo-vya-mafuta.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TRA YAVIFUNGIA VITUO VYA MAFUTA VISIVYOTUMIA MASHINE ZA KIELEKTRONIKI JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment