SERIKALI YAWALILIA WANAFUNZI WA KIMBIJI WALIOFARIKI WALIPOKUWA WAKIOGELEA

SERIKALI YAWALILIA WANAFUNZI WA KIMBIJI WALIOFARIKI WALIPOKUWA WAKIOGELEA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAWALILIA WANAFUNZI WA KIMBIJI WALIOFARIKI WALIPOKUWA WAKIOGELEA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAWALILIA WANAFUNZI WA KIMBIJI WALIOFARIKI WALIPOKUWA WAKIOGELEA
kiungo : SERIKALI YAWALILIA WANAFUNZI WA KIMBIJI WALIOFARIKI WALIPOKUWA WAKIOGELEA

soma pia


SERIKALI YAWALILIA WANAFUNZI WA KIMBIJI WALIOFARIKI WALIPOKUWA WAKIOGELEA

SERIKALI imesikitishwa na vifo vya wanafunzi wanne ambao ni wasichana wa kidato cha nne kutoka shule ya sekondari Kimbiji iliyopo Kigamboni jijini Dar es salaam waliofariki kwa ajali ya maji walipokuwa wakiogelea katika bahari ya Hindi.

Vifo vya wanafunzi hao vilitokana na sherehe iliyoratibiwa na shule husika ili kuwapongeza wanafunzi hao wa kidato cha nne baada ya kufanya vyema mitihani yao ya kujipimAkizungumza kwa majonzi shuleni hapo,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo amesema serikali imepokea kwa masikitiko vifo hivyo na kutoa pole kwa wanafunzi, wazazi, na walimu wa shule hiyo kwa msiba huo mzito.

Waziri Jafo amewataka walimu wote nchini kujiepusha na ufanyaji wa sherehe za wanafunzi katika mazingira hatarishi. Aidha, Waziri Jafo aliwasilisha rambirambi kwa familia nne za wafiwa.Wanafunzi waliofariki dunia ni Secilia Ernest Paulo, Selestina Vitus Malipesa, Agnetha Philipo Mlaki na Queen Leonard Mandala.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo akitoa pole kwa shule ya sekondari ya Kimbiji katika maombolezo ya vifo vya wanafunzi wanne.tika huzuni kubwa ya kifo cha wenzao wanne
Wanafunzi wa sekondari ya Kimbiji wakiwa katika huzuni kubwa ya kifo cha wenzao wanne
Watumishi wa Kigamboni pamoja na wazazi walipoungana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo kwenye maombolezo ya vifo vya wanafunzi wanne.


Hivyo makala SERIKALI YAWALILIA WANAFUNZI WA KIMBIJI WALIOFARIKI WALIPOKUWA WAKIOGELEA

yaani makala yote SERIKALI YAWALILIA WANAFUNZI WA KIMBIJI WALIOFARIKI WALIPOKUWA WAKIOGELEA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAWALILIA WANAFUNZI WA KIMBIJI WALIOFARIKI WALIPOKUWA WAKIOGELEA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/serikali-yawalilia-wanafunzi-wa-kimbiji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI YAWALILIA WANAFUNZI WA KIMBIJI WALIOFARIKI WALIPOKUWA WAKIOGELEA"

Post a Comment