KANGI LUGOLA, WAZIRI WA CANADA WAJADILI MASUALA YA WAKIMBIZI NCHINI

KANGI LUGOLA, WAZIRI WA CANADA WAJADILI MASUALA YA WAKIMBIZI NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KANGI LUGOLA, WAZIRI WA CANADA WAJADILI MASUALA YA WAKIMBIZI NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KANGI LUGOLA, WAZIRI WA CANADA WAJADILI MASUALA YA WAKIMBIZI NCHINI
kiungo : KANGI LUGOLA, WAZIRI WA CANADA WAJADILI MASUALA YA WAKIMBIZI NCHINI

soma pia


KANGI LUGOLA, WAZIRI WA CANADA WAJADILI MASUALA YA WAKIMBIZI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto) akimsindikiza Waziri wa Uhamiaji, Wakimbizi na Uraia wa nchini Canada, Ahmed Hussein, mara baada ya kumaliza kikao chao kilichojadilia masuala mbalimbali ya Wakimbizi pamoja na kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na Canada. Katika kikao hicho kilifanyika katika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam leo. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akimsikiliza Waziri wa Uhamiaji, Wakimbizi na Uraia wa nchini Canada, Ahmed Hussein (wapili kushoto) alipokua akimfafanulia jambo katika kikao kilichofanyika katika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam leo, viongozi hao walijadili masuala ya mbalimbali ya Wakimbizi pamoja na kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na Canada. Wapili kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Harrison Mseke. Watatu kushoto ni Balozi wa Canada nchini, Ian Myles, na kushoto ni Kansela wa Masuala ya Uhamiaji wa Balozi huo hapa nchini, Erin Brouse. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Uhamiaji, Wakimbizi na Uraia wa nchini Canada, Ahmed Hussein (wapili kushoto). Katika kikao hicho kilichofanyika katika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam leo, viongozi hao walijadili masuala ya mbalimbali ya Wakimbizi pamoja na kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na Canada. Wapili kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Harrison Mseke. Watatu kushoto ni Balozi wa Canada nchini, Ian Myles. Na kushoto ni Kansela wa Masuala ya Uhamiaji wa Balozi huo hapa nchini, Erin Brouse. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Hivyo makala KANGI LUGOLA, WAZIRI WA CANADA WAJADILI MASUALA YA WAKIMBIZI NCHINI

yaani makala yote KANGI LUGOLA, WAZIRI WA CANADA WAJADILI MASUALA YA WAKIMBIZI NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KANGI LUGOLA, WAZIRI WA CANADA WAJADILI MASUALA YA WAKIMBIZI NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/kangi-lugola-waziri-wa-canada-wajadili.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KANGI LUGOLA, WAZIRI WA CANADA WAJADILI MASUALA YA WAKIMBIZI NCHINI"

Post a Comment