title : WAKAZI WA KANDA YA ZIWA SASA KUJISHINDIA MAMILIONI NA PEPSI.
kiungo : WAKAZI WA KANDA YA ZIWA SASA KUJISHINDIA MAMILIONI NA PEPSI.
WAKAZI WA KANDA YA ZIWA SASA KUJISHINDIA MAMILIONI NA PEPSI.
Kampuni ya SBC Tanzania Limited, watengenezaji na wasambazaji wa vinywaji baridi aina ya Pepsi, Mirinda, 7up, Mountain Dew na Evervess, Mkoani Mwanza wanayo furaha kuwaletea Shindano kabambe litakalojulikana kwa jina la“Jishindie Mamilioni ” Shindano hili litahusu soda aina ya Pepsi, Mirinda Orange, Mirinda Fruity, Mirinda Lemon, 7Up za ujazo wa mililita 350, na Mountain Dew (300ml).
Shindano hili litatangazwa Katika Radio, Magazeti, Mabango na Vipeperushi mbalimbali. Madhumuni ya kuwaletea shindano hili niKuboresha hali ya maisha ya wateja wetu wa kanda ya Ziwa kwa kuwapatia zawadi za fedha taslimu ili kuwawezesha kujikomboa kiuchumi.Shindano hili litaendeshwa Kwa muda wa wiki sita kuanzia tarehe 01/08/18 hadi 16/09/18 katika mikoa ifuatayo: Mwanza, Shinyanga, Mara, Simiyu, Tabora, Geita, Kigoma na Kagera.
Kutoka kushoto ni Phocas lusato Meneja Rasilimali watu SBC, akifuatia Meneja Mafunzo na Uwezeshaji SBC Tanzania Limited Rashid Chenja na Hussein Mkwawa ambaye ni Meneja mauzo Kanda ya Ziwa wakisikiliza vyema maswali ya waandishi wa habari (hawako pichani) katika utambulisho rasmi wa shindano la Jishindie Mamilioni, uliofanyika ukumbi wa mikutano SBC Nyakato jijini Mwanza.
Balozi wa PEPSI Albert G. Sengo (kulia) akitoa maelezo kwa wawezeshaji SBC, anayemsikiliza mbele yake ni Meneja Mauzo kanda ya Ziwa Hussein Mkwawa, Meneja Mafunzo na Uwezeshaji SBC Tanzania Limited Rashid Chenja na Meneja Rasilimali Watu Phocas Lusato katika utambulisho wa shindano la Jishindie Mamilioni, uliofanyika ukumbi wa mikutano SBC Nyakato jijini Mwanza.
Nikama wakisemezana "Hebu tuone umepata nini ndani ya kizibo chako...." Balozi wa PEPSI Albert G. Sengo (kushoto) Sara Onesmo kutoka Clouds Tv na Johari Shani wa Mwananchi Communication.
Shindano hili la“Jishindie Mamilioni” litakuana vizibo vya rangi ya Silva. Shindano hili litakua na zawadi nyingi za pesa taslimu kuanzia shilingi za Kitanzania 1,000,000/-, 500,000/-, 10,000/-, 5000/-, 1000/= na SODA YA BURE.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala WAKAZI WA KANDA YA ZIWA SASA KUJISHINDIA MAMILIONI NA PEPSI.
yaani makala yote WAKAZI WA KANDA YA ZIWA SASA KUJISHINDIA MAMILIONI NA PEPSI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAKAZI WA KANDA YA ZIWA SASA KUJISHINDIA MAMILIONI NA PEPSI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/wakazi-wa-kanda-ya-ziwa-sasa.html
0 Response to "WAKAZI WA KANDA YA ZIWA SASA KUJISHINDIA MAMILIONI NA PEPSI."
Post a Comment