MAFUNZO YA UONGEZAJI THAMANI WA VIAZI LISHE YAFANA SUGECO MOROGORO

MAFUNZO YA UONGEZAJI THAMANI WA VIAZI LISHE YAFANA SUGECO MOROGORO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAFUNZO YA UONGEZAJI THAMANI WA VIAZI LISHE YAFANA SUGECO MOROGORO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAFUNZO YA UONGEZAJI THAMANI WA VIAZI LISHE YAFANA SUGECO MOROGORO
kiungo : MAFUNZO YA UONGEZAJI THAMANI WA VIAZI LISHE YAFANA SUGECO MOROGORO

soma pia


MAFUNZO YA UONGEZAJI THAMANI WA VIAZI LISHE YAFANA SUGECO MOROGORO

Washiriki wa Mafunzo ya Uongezaji Thamani Viazi Lishe kutoka mikoa mbalimbali nchini,wakionesha mikate na mandazi waliyotengeneza kwa kutumia urojo wa viazi hivyo pamoja na unga wa ngano wakati wa mafunzo yaliyofanyika hivi karibuni katika Ushirika wa Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo Morogoro (Sugeco). Washiriki hao walifundishwa mambo mbalimbali ikiwemo uandaaji wa shamba, kupanda, uangalizi, mavuno, biashara pamoja na faida ya viazi hivyo vyenye wingi wa vitamini A. Kushoto ni Mkurugenzi wa Sugeco, Revocatus Kimario.

Kuanzia leo naahidi kuwaletea yaliyojiri wakati wa mafunzo hayo yaliyoendeshwa na walimu makini na wenye weledi mkubwa kuhusu zao hilo.MWANDAAJI RICHARD MWAIKENDA
Washiriki wakipata maelezo kuhusu mfano wa kilimo cha umwagiliaji kinachotumi matone katika eneo la Segeco, Sua Morogoro.
Wakitembelea Dryer inayotumia Nishati ya jua
Richard Mwaikenda akiangalia aina ya mbegu ya viazi lishe ya mataya katika bustani iliyopo Sugeco. Kushoto ni Mtaalamu wa Viazi Lishe, Jolanta Joseph
Mwalimu wa mafunzo hayo, Jolanta akitoa maelezo ya kuzingaatia wakati wa kutengeneza juisi.



Hivyo makala MAFUNZO YA UONGEZAJI THAMANI WA VIAZI LISHE YAFANA SUGECO MOROGORO

yaani makala yote MAFUNZO YA UONGEZAJI THAMANI WA VIAZI LISHE YAFANA SUGECO MOROGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAFUNZO YA UONGEZAJI THAMANI WA VIAZI LISHE YAFANA SUGECO MOROGORO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mafunzo-ya-uongezaji-thamani-wa-viazi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAFUNZO YA UONGEZAJI THAMANI WA VIAZI LISHE YAFANA SUGECO MOROGORO"

Post a Comment