title : Halmashauri ya Wilaya ya Kati yaandaa zoezi la uchangiaji damu yavuna Lita 400 za damu
kiungo : Halmashauri ya Wilaya ya Kati yaandaa zoezi la uchangiaji damu yavuna Lita 400 za damu
Halmashauri ya Wilaya ya Kati yaandaa zoezi la uchangiaji damu yavuna Lita 400 za damu
Wananchi kutoka sehemu mbalimbali za wilaya ya kati wakiwa katika viwanja vya Dunga walipoitikia mwito wa kuchangia damu kwa ajili ya benki ya damu
Wananchi kutoka sehemu mbalimbali za wilaya ya kati wakiwa katika viwanja vya Dunga walipoitikia mwito wa kuchangia damu kwa ajili ya benki ya damu wakisajiliwa majina yao
Vikosi vya ulinzi na usalama navyo havikuwa nyuma kwani navyo vilishirika kwa kiasi kikubw2a katika zoezi la kuchangia damu kwa jili ya Benki ya damu
Wachangiaji 300 wa mwanzo kila mmoja alizawadiwa mwamvuli , Fulana pamoja na Vocha ya simu
Baadhi ya wananchi wakiendelea kutoa damu kwenye zoezi la kutoa damu lililoandaliwa na Halmashauri ya wilaya ya katgi na mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Bi Hamida Mussa Khamis
Baadhi ya wananchi wakiendelea kutoa damu kwenye zoezi la kutoa damu lililoandaliwa na Halmashauri ya wilaya ya katgi na mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Bi Hamida Mussa Khamis
Hivyo makala Halmashauri ya Wilaya ya Kati yaandaa zoezi la uchangiaji damu yavuna Lita 400 za damu
yaani makala yote Halmashauri ya Wilaya ya Kati yaandaa zoezi la uchangiaji damu yavuna Lita 400 za damu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Halmashauri ya Wilaya ya Kati yaandaa zoezi la uchangiaji damu yavuna Lita 400 za damu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/halmashauri-ya-wilaya-ya-kati-yaandaa.html
0 Response to "Halmashauri ya Wilaya ya Kati yaandaa zoezi la uchangiaji damu yavuna Lita 400 za damu"
Post a Comment