Wananchi watakiwa kuthamini na kudumisha muungano

Wananchi watakiwa kuthamini na kudumisha muungano - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wananchi watakiwa kuthamini na kudumisha muungano, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wananchi watakiwa kuthamini na kudumisha muungano
kiungo : Wananchi watakiwa kuthamini na kudumisha muungano

soma pia


Wananchi watakiwa kuthamini na kudumisha muungano

Mkoa wa Kaskazini Unguja.            
Wananchi wametakiwa kuenzi, kuthamini na kudumisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ili kuendeleza Amani na kupata maendeleo.
Wito huo umetolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Rashid Makame Shamsi wakati walipofanya ziara na Ujumbe wa Watu 85 kutoka Kata ya Mbagala kuu Jijini Dar-es-salam,ziara ambayo imefanyika katika Hifadhi ya Samaki Fukuchani,Ujenzi wa Maskani ya Tushikamane Nungwi na Kufanya mazungumzo na Uongozi wa Jimbo la Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umeleta mafanikio katika nyanja mbalimbali kama vile kielimu,kiuchumi na kukuza uhusiano mwema.
Aidha amesema Viongozi hao wametumia busara na hekima katika kuunganisha nchi mbili hizi ili kuweza kuwaletea maendeleo Wananchi wake hivyo ni vyema kuungana katika kuendeleza mambo mazuri walioyaanzisha.
Hata hivyo amewataka Wananchi wa Tanganyika na Zanzibar kuhakikisha wanaulinda na kuudumisha Muungano huo kwa  nguvu zote kwa faida yao na Taifa kwa ujumla.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Mbagala kuu Khamis Shaaban Malenda amesema ushirikiano waliouanzisha Wadi ya Sogea na Kata ya Mbagala kuu utaweza kusaidia kupata mbinu za kubuni vianzio vya Mapato na kukuza uchumi.


Hivyo makala Wananchi watakiwa kuthamini na kudumisha muungano

yaani makala yote Wananchi watakiwa kuthamini na kudumisha muungano Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wananchi watakiwa kuthamini na kudumisha muungano mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/wananchi-watakiwa-kuthamini-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wananchi watakiwa kuthamini na kudumisha muungano"

Post a Comment