MKURABITA Yakabidhi Hati Miliki 661 za Ardhi Wilayani Ikungi - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKURABITA Yakabidhi Hati Miliki 661 za Ardhi Wilayani Ikungi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
MKURABITA Yakabidhi Hati Miliki 661 za Ardhi Wilayani Ikungikiungo :
MKURABITA Yakabidhi Hati Miliki 661 za Ardhi Wilayani Ikungi
MKURABITA Yakabidhi Hati Miliki 661 za Ardhi Wilayani Ikungi
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), NBalozi Daniel Ole Njolay akikabidhi a Hati za Hakimiliki za Kimila wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 661 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Kimbwi na Nkununkhana kata ya Puma wilayani Ikungi jana. Hati hizo zimetolewa ikiwa ni muendelezo wa zoezi la urasimishaji wa mashamba katika maeneo hayo lililoanza mwaka 2011 na kufanyika kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza zilitolewa hati 405. Kutoka kushoto ni Mratibu wa MKURABITA, Bibi. Seraphia Mgembe na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Miraji Mtaturu.
Mtendaji Mkuu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Bibi. Seraphia Mgembe akifafanua jambo wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 661 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Kimbwi na Nkununkhana kata ya Puma wilayani Ikungi jana. Hati hizo zimetolewa ikiwa ni muendelezo wa zoezi la urasimishaji wa mashamba katika maeneo hayo lililoanza mwaka 2011 na kufanyika kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza zilitolewa hati 405. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Kapteni Mstaafu John Chiligati, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya MKURABITA, Balozi Daniel Ole Njolay na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Miraji Mtaturu.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi aliyemaliza muda wake Kapteni Mstaafu John Chiligati akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 661 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Kimbwi na Nkununkhana kata ya Puma wilayani Ikungi jana. Hati hizo zimetolewa ikiwa ni muendelezo wa zoezi la urasimishaji wa mashamba katika maeneo hayo lililoanza mwaka 2011 na kufanyika kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza zilitolewa hati 405.

Baadhi ya wananchi waliopatiwa Hati za Hakimiliki ya Kimila wakisoma hati zao wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 661 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Kimbwi na Nkununkhana kata ya Puma wilayani Ikungi jana. Hati hizo zimetolewa ikiwa ni muendelezo wa zoezi la urasimishaji wa mashamba katika maeneo hayo lililoanza mwaka 2011 na kufanyika kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza zilitolewa hati 405.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay (aliyejifunika shuka) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi waliokabidhiwa Hati za Hakimiliki za Kimila wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 661 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Kimbwi na Nkununkhana kata ya Puma wilayani Ikungi jana. Hati hizo zimetolewa ikiwa ni muendelezo wa zoezi la urasimishaji wa mashamba katika maeneo hayo lililoanza mwaka 2011 na kufanyika kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza zilitolewa hati 405. (Picha zote na: Frank Shija, MAELEZO, Ikungi, Singida)
Hivyo makala MKURABITA Yakabidhi Hati Miliki 661 za Ardhi Wilayani Ikungi
yaani makala yote MKURABITA Yakabidhi Hati Miliki 661 za Ardhi Wilayani Ikungi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURABITA Yakabidhi Hati Miliki 661 za Ardhi Wilayani Ikungi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mkurabita-yakabidhi-hati-miliki-661-za.html
0 Response to "MKURABITA Yakabidhi Hati Miliki 661 za Ardhi Wilayani Ikungi"
Post a Comment