title : Uzinduzi wa Barabara ya Kiyuni Hadi Ngomeni Wilaya ya Chakechake Kisiwani Pemba.
kiungo : Uzinduzi wa Barabara ya Kiyuni Hadi Ngomeni Wilaya ya Chakechake Kisiwani Pemba.
Uzinduzi wa Barabara ya Kiyuni Hadi Ngomeni Wilaya ya Chakechake Kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali.Mohamed Shein.Mama Mwanamwema Shein kulia na Waziri wa Ujenzi Miundombini na Usafirishaji Zanzibar Mhe,Dr.Sira Ubwa Mwamboya wakiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Barabara ya Kiyuni hadi Ngomeni iliyojengwa kwa kiwango cha lami, uzinduzi huo umefanya wiki hii 25-2-2019, wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Kisiwani Pemba kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Mikoa ya Kusini nas Kaskazini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasikiliza Watoto walioandaliwa katika hafla ya ukataji wa Utepe wa Uzinduzi wa Barabara ya Kiyuni hadi Ngomeni Wilaya ya Chakechake Kisiwani Pemba akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo.
Hivyo makala Uzinduzi wa Barabara ya Kiyuni Hadi Ngomeni Wilaya ya Chakechake Kisiwani Pemba.
yaani makala yote Uzinduzi wa Barabara ya Kiyuni Hadi Ngomeni Wilaya ya Chakechake Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uzinduzi wa Barabara ya Kiyuni Hadi Ngomeni Wilaya ya Chakechake Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/uzinduzi-wa-barabara-ya-kiyuni-hadi.html
0 Response to "Uzinduzi wa Barabara ya Kiyuni Hadi Ngomeni Wilaya ya Chakechake Kisiwani Pemba."
Post a Comment