YANGA, MAJIMAJI KUSHUKA DIMBANI KESHO TAIFA

YANGA, MAJIMAJI KUSHUKA DIMBANI KESHO TAIFA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGA, MAJIMAJI KUSHUKA DIMBANI KESHO TAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YANGA, MAJIMAJI KUSHUKA DIMBANI KESHO TAIFA
kiungo : YANGA, MAJIMAJI KUSHUKA DIMBANI KESHO TAIFA

soma pia


YANGA, MAJIMAJI KUSHUKA DIMBANI KESHO TAIFA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) Yanga, kesho wanashuka dimbani kuvaana na kikosi cha Majimaji ya Songea " Wanalizombe" katika mchezo wa raundi ya 18 kwenye dimba la Uwanja wa Taifa.

Mechi hiyo itakayoanza majira ya saa 10 alasiri unatarajiwa kuwa wa ushindani kwa pande zote mbili,Yanga wakitaka kupata ushindi ili kuzidi kujiweka kwenye mazingira ya kutetea ubingwa wao huku Majimaji wakitaka kujinasua kutoka kwenye nafasi ya tatu kutoka chini.

Katika mchezo wa kwanza uliochezwa mkoani Songea kwenye Uwanja wa Majimaji Yanga walilazimishwa sare ya 1-1 wakisawazisha goli hilo kupitia kwa mshambuliaji wake wa kimataifa kutoka Zimbabwe Donald Ngoma.

Akizungumza na Globu ya jamii Mkuu wa Kitengo cha habari na Mawasiliano wa Yanga Dismas Ten amesema timu imeendelea  na mazoezi yake kama kawaida na kesho kitashuka dimbani kikiwakosa wachezaji watatu ambao hawajaanza kujumuika na wenzao kwenye mazoezi.

Amewataja wachezaji hao ni Amidi Tambwe, Donald Ngoma na Yohana Mkomola ambao wapo chini ya uangalizi wa daktar wakiuguza majeraha yao.

" Wachezaji watakaokosekana kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Majimaji ni watatu ambao hawajaanza mazoezi na wenzao ni Donald Ngoma, Amisi Tambwe na Yohana Mkomola wakiwa chini ya uangalizi wa daktari," amesema Ten.

Yanga watashuka dimbani wakiwa na alama 34 wakishika nafasi ya pili nyuma ya vinara wa VPL Simba wakiwa kileleni kwa alama 38.


Hivyo makala YANGA, MAJIMAJI KUSHUKA DIMBANI KESHO TAIFA

yaani makala yote YANGA, MAJIMAJI KUSHUKA DIMBANI KESHO TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YANGA, MAJIMAJI KUSHUKA DIMBANI KESHO TAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/yanga-majimaji-kushuka-dimbani-kesho.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YANGA, MAJIMAJI KUSHUKA DIMBANI KESHO TAIFA"

Post a Comment