title : RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA PROFESA BIANG YOHONG IKULU ZANZIBAR
kiungo : RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA PROFESA BIANG YOHONG IKULU ZANZIBAR
RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA PROFESA BIANG YOHONG IKULU ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mtaalam wa Dawa za Asili kutoka Nchini China Profesa Yuhong Biang, alipofika Ikulu Zanzibar kushoto Mtafiti wa Dawa Asili kutoka Kenya Ndg. Siambi Kikete na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Afya Zanzibar Dr. Mayassa .S.Ally, wakifuatilia mazungumzo hayo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Wataalam wa Utafiti wa Dawa za Asili ukiongozwa na Profesa Yuhong Biang kutoka Nchini China,Mtafiti kutoka Kenya, Siambi Kikete na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya ya Afya Zanzibar. Dr. Mayassa.S.Ally. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Profesa Yuhong Biang, wakitoka katika ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Profesa Yuhong Biang,Mtaalam wa Utafiti wa Dawa za Asili kutoka China.(Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA PROFESA BIANG YOHONG IKULU ZANZIBAR
yaani makala yote RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA PROFESA BIANG YOHONG IKULU ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA PROFESA BIANG YOHONG IKULU ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/rais-dkt-shein-azungumza-na-profesa.html
0 Response to "RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA PROFESA BIANG YOHONG IKULU ZANZIBAR"
Post a Comment