KIKOSI CHA YANGA KAMILI KUIVAA LIPULI

KIKOSI CHA YANGA KAMILI KUIVAA LIPULI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIKOSI CHA YANGA KAMILI KUIVAA LIPULI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIKOSI CHA YANGA KAMILI KUIVAA LIPULI
kiungo : KIKOSI CHA YANGA KAMILI KUIVAA LIPULI

soma pia


KIKOSI CHA YANGA KAMILI KUIVAA LIPULI

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii

KIKOSI cha Yanga kimeondoka leo jijini Mbeya kuelekea Iringa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji Lipuli siku ya Jumamosi.

Mchezo huo wa marudiano unatarajiwa kuchezwa Uwanja Samora utakuwa wa ushindani mkubwa kwa timu zote huku Yanga wakitaka kulipa kisasi kwa Lipuli.

Yanga ilikuwa mkoani Mbeya kwa ajili ya mechi dhidi ya timu ya Ihefu FC ikiwa ni hatua ya 32 Bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) kwa ushindi wa penalti 4-3 baada ya sare ya 1-1 ndani ya dakika 90 kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya juzi.

Akizungumza na Michuzi Blog, Meneja wa Yanga Hafidh Saleh amesema kikosi chote kilichosafiri na timu kimeelekea mkoani Iringa kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Lipuli utakaofanyika Jumamosi.

"Kikosi cha Yanga kimeondoka kuelekea Iringa kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya Lipuli ikiwa ni mchezo wa marudiano wa raundi ya pili na wachezaji wote waliosafiri na timu kutoka Dar es salaam wameondoka,"amesema.

Katika mchezo wa awali uliopigwa Uwanja wa Uhuru ulimalizika kwa sare ya 1-1 ambapo Donald Ngoma aliwasiwazisha goli hilo huku Seif Karihe akifunga kwa upande wa Lipuli.


Hivyo makala KIKOSI CHA YANGA KAMILI KUIVAA LIPULI

yaani makala yote KIKOSI CHA YANGA KAMILI KUIVAA LIPULI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIKOSI CHA YANGA KAMILI KUIVAA LIPULI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/kikosi-cha-yanga-kamili-kuivaa-lipuli.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KIKOSI CHA YANGA KAMILI KUIVAA LIPULI"

Post a Comment