HALMASHAURI YA MJI WA MBULU WAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 16

HALMASHAURI YA MJI WA MBULU WAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 16 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HALMASHAURI YA MJI WA MBULU WAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 16, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HALMASHAURI YA MJI WA MBULU WAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 16
kiungo : HALMASHAURI YA MJI WA MBULU WAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 16

soma pia


HALMASHAURI YA MJI WA MBULU WAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 16

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu Mkoani Manyara, limepitisha bajeti ya shilingi 16, 225,661,581 kwa mwaka wa fedha wa 2018/2019. 

Mkurugenzi wa Mji wa Mbulu, Anna Mbogo akizungumza wakati wa kupitishwa kwa bajeti hiyo amesema fedha hizo zitatumika kwa ajili ya mishahara ya watumishi wa Halmashauri hiyo na miradi ya maendeleo.

Mbogo amesema bajeti hiyo imelenga kuwezesha miradi ya elimu, afya na maji kwenye baadhi ya kata za Halmashauri ya Mji huo. Alisema bajeti hiyo haijahusisha fedha za ujenzi wa barabara kwani zimehamishiwa serikali kuu kupitia wakala wa barabara wa mjini na vijijini (Tarura). 

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu, Valerian Gidshanga alisema kupitishwa kwa bajeti hiyo ni jambo moja na utekelezaji wake ni mwingine hivyo kila mmoja atimize wajibu wake. "Sisi madiwani kwa pande wetu tutekeleze wajibu wetu, watumishi wa halmashauri nao wafanye kazi kwa nafasi yao na wananchi kwa ujumla watuunge mkono katika kufanikisha bajeti yetu," alisema Gidshanga. 

Diwani wa Kata ya Tsawi, Anthony Genda amesema bajeti hiyo imejikita kwenye sekta tofauti za miradi ya maendeleo. Genda amesema kwa upande wa kata yake bajeti hiyo imezingatia suala la ujenzi wa kituo cha afya hivyo kuwa na manufaa kwa jamii. 
  Mkurugenzi wa Mji wa Mbulu Anna Mbogo, akizungumza baada ya Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Mji huo kupitisha bajeti yao. 
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu Mkoani Manyara, Valerian Gidshanga akifungua kikao cha Baraza la madiwani wa Halmashauri hiyo. 
 Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu Mkoani Manyara, wakiendelea na kikao cha Baraza la madiwani kilichopitisha mpango wa bajeti ya mwaka wa fedha wa 2018/2019. 
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Chelestino Mofuga akizungumza kwenye kikao cha Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu. 


Hivyo makala HALMASHAURI YA MJI WA MBULU WAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 16

yaani makala yote HALMASHAURI YA MJI WA MBULU WAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 16 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HALMASHAURI YA MJI WA MBULU WAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 16 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/halmashauri-ya-mji-wa-mbulu-wapitisha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HALMASHAURI YA MJI WA MBULU WAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 16"

Post a Comment