title : PICHA MBALIMBALI ZA SOKO LA SAMAKI LA KIBIRIZI KATIKA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI
kiungo : PICHA MBALIMBALI ZA SOKO LA SAMAKI LA KIBIRIZI KATIKA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI
PICHA MBALIMBALI ZA SOKO LA SAMAKI LA KIBIRIZI KATIKA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI
Wafanyabiashara wa samaki katika soko la Kibirizi kwenye Manispaa ya Kigoma Ujiji, Amina Sadiki (kushoto) na Halima Ramadhani (kulia) wakipaa samaki sokoni hapo, Februari 15, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wachuuzi wa dagaa katika soko la samaki la Kibirizi kwenye Manispaa ya Kigoma Ujiji, Odes Aloys (kulia) na Rashidi Haji (kushoto) wakianika dagaa sokoni hapo Februari 15, 2019.
Muuzaji wa mafuta ya mawese yanayotokana na michikichi, Mwajuma Khamis akitamka bei za mafuta hayo aliyokuwa akiyauza kati ya Shillings 1,000 hadi 10,000 katika soko la samaki la Kibirizi kwenye Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari 15, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala PICHA MBALIMBALI ZA SOKO LA SAMAKI LA KIBIRIZI KATIKA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI
yaani makala yote PICHA MBALIMBALI ZA SOKO LA SAMAKI LA KIBIRIZI KATIKA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PICHA MBALIMBALI ZA SOKO LA SAMAKI LA KIBIRIZI KATIKA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/picha-mbalimbali-za-soko-la-samaki-la.html
0 Response to "PICHA MBALIMBALI ZA SOKO LA SAMAKI LA KIBIRIZI KATIKA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI"
Post a Comment