MNZAVA: WAKULIMA,WAFUGAJI ONDOENI UBINAFSI

MNZAVA: WAKULIMA,WAFUGAJI ONDOENI UBINAFSI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MNZAVA: WAKULIMA,WAFUGAJI ONDOENI UBINAFSI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MNZAVA: WAKULIMA,WAFUGAJI ONDOENI UBINAFSI
kiungo : MNZAVA: WAKULIMA,WAFUGAJI ONDOENI UBINAFSI

soma pia


MNZAVA: WAKULIMA,WAFUGAJI ONDOENI UBINAFSI



MBUNGE wa korogwe vijijini Mh Timotheo Mnzava amewataka wananchi jamii ya wafugaji na wakulima waishio katika kata ya Mkalamo na Magamba Kwalukonge kumaliza tofauti zao na kuachana na ugomvi baina yao na malumbano yasio na tija ili kuleta maendeleo ya kata zao na Korogwe na taifa kwa ujumla. 

Ameyazungumza hayo leo katika mikutano yake na wananchi hao alipotembelea katika kata hizo ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kukutana na wananchi ambapo lengo kuu ni kusikiliza na kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wa jimbo hilo. 

Mnzava amezitaka jamii zote mbili za wafugaji na wakulima kuondoa ubinafsi katika mioyo yao na kwa pamoja wawe na upendo baina yao na kuishi kindugu ili kulinda amani ambayo ni tunu kwa taifa la Tanzania. 

“Natambua changamoto yetu ya Ardhi, na naamini hata siku moja hatuwezi kufuta mashamba yote, kwasababu uwekezaji pia tunauhitaji lakini uwekezaji wenye tija, lakini hata ikitokea siku moja mashamba yote tukapewa kama hatuna matumizi bora ya ardhi, kama hatutaacha ubinafsi na kuchukiana, mgogoro wa wakulima na wafugaji hauwezi kwisha. Tupendane, tuishi kama ndugu na kuheshimu shughuli za wenzetu”. Alisema Mnzava 

Mnzava amewaahidi wananchi hao kuendelea kuwasemea juu ya tatizo la uhaba wa Ardhi na amewaomba wavute subira kwani serikali ya Rais Magufuli inalifahamu tatizo hilo na kwakuwa Rais anawajali watu wake litapata suluhisho.


Hivyo makala MNZAVA: WAKULIMA,WAFUGAJI ONDOENI UBINAFSI

yaani makala yote MNZAVA: WAKULIMA,WAFUGAJI ONDOENI UBINAFSI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MNZAVA: WAKULIMA,WAFUGAJI ONDOENI UBINAFSI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/mnzava-wakulimawafugaji-ondoeni-ubinafsi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MNZAVA: WAKULIMA,WAFUGAJI ONDOENI UBINAFSI"

Post a Comment