title : SIMBA NET WAMWAGA FURSA KWA VIJANA
kiungo : SIMBA NET WAMWAGA FURSA KWA VIJANA
SIMBA NET WAMWAGA FURSA KWA VIJANA
TANZANIA ikiwa kwenye mapinduzi ya kiteknolojia ilhali inadaiwa kuwepo kwa changamoto ya ajira ambapo mapunduzi hayo yanaweza kutoa fursa zaidi.
Fursa hizo zimeelezwa kuwa zipo kwenye teknoljia endapo vijana hao watajitambua kwa kufanya kazi vizuri katika kuitumia mitandao ya kijamii kwa ufanisi.
Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Operesheni kwenye mtandao wa Simba Net wa Tanzania Kenya na Uganda, Hussein Kitambi, amesema kuwa Simba Net itawakutanisha vijana 100 watakao funguliwa fikra ya jinsi Teknolojia inavyoweza kuwasaidia kujipatia ajira,
Amesema kuwa mkutano huo utakaofanyika kesho jijini Dar es Salaam katika Ofisi za Umoja wa Mataifa ambapo Simba Net ikishirikiana na wadau mbalimbali wa Teknolojia.
Hivyo makala SIMBA NET WAMWAGA FURSA KWA VIJANA
yaani makala yote SIMBA NET WAMWAGA FURSA KWA VIJANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA NET WAMWAGA FURSA KWA VIJANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/simba-net-wamwaga-fursa-kwa-vijana.html
0 Response to "SIMBA NET WAMWAGA FURSA KWA VIJANA"
Post a Comment