title : IGP SIRRO - Aafanya Ziara Mkoani Mtwara.Awakumbusha Askari Wajibu Wao wa Kutenda Haki Wanapotekeleza Majukumu Yao.
kiungo : IGP SIRRO - Aafanya Ziara Mkoani Mtwara.Awakumbusha Askari Wajibu Wao wa Kutenda Haki Wanapotekeleza Majukumu Yao.
IGP SIRRO - Aafanya Ziara Mkoani Mtwara.Awakumbusha Askari Wajibu Wao wa Kutenda Haki Wanapotekeleza Majukumu Yao.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akisalimiana na maafisa wa Polisi alipowasili katika mkoa wa Mtwara, leo kwa ziara ya siku moja ya kikazi yenye lengo la kuzumgumza na askari pamoja na kuwakumbusha wajibu wao wa kutenda haki wakati wanapotekeleza majukumu ya kazi za Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto), akimsikiliza Kmamanda wa Polisi mkoa wa Mtwara, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Lucas Mkondya, leo kwa ziara ya kikazi ya siku moja yenye lengo la kuzumgumza na askari pamoja na kuwakumbusha wajibu wao wa kutenda haki wakati wanapotekeleza majukumu ya kazi za Polisi. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na waandishi wa habari nje ya Makao Makuu ya Polisi mkoa wa Mtwara, akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani humo yenye lengo la kuzumgumza na askari pamoja na kuwakumbusha wajibu wao wa kutenda haki wakati wanapotekeleza majukumu ya kazi za Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima ya kijeshi alipowasili mkoa wa Mtwara kwa ziara ya kikazi ya siku moja yenye lengo la kuzumgumza na askari pamoja na kuwakumbusha wajibu wao wa kutenda haki wakati wanapotekeleza majukumu ya kazi za Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia mkoa wa Mtwara, mara baada ya kukagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili yake. IGP Sirro, yupo mkani humo kwa ziara ya kikazi ya siku moja yenye lengo la kuzumgumza na askari pamoja na kuwakumbusha wajibu wao wa kutenda haki wakati wanapotekeleza majukumu ya kazi za Polisi. Picha na Jeshi la Polisi.
Hivyo makala IGP SIRRO - Aafanya Ziara Mkoani Mtwara.Awakumbusha Askari Wajibu Wao wa Kutenda Haki Wanapotekeleza Majukumu Yao.
yaani makala yote IGP SIRRO - Aafanya Ziara Mkoani Mtwara.Awakumbusha Askari Wajibu Wao wa Kutenda Haki Wanapotekeleza Majukumu Yao. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO - Aafanya Ziara Mkoani Mtwara.Awakumbusha Askari Wajibu Wao wa Kutenda Haki Wanapotekeleza Majukumu Yao. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/igp-sirro-aafanya-ziara-mkoani.html
0 Response to "IGP SIRRO - Aafanya Ziara Mkoani Mtwara.Awakumbusha Askari Wajibu Wao wa Kutenda Haki Wanapotekeleza Majukumu Yao."
Post a Comment