YANGA YASHINDWA KUFURUKUTA DHIDI YA NDANDA UWANJA WA TAIFA

YANGA YASHINDWA KUFURUKUTA DHIDI YA NDANDA UWANJA WA TAIFA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGA YASHINDWA KUFURUKUTA DHIDI YA NDANDA UWANJA WA TAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YANGA YASHINDWA KUFURUKUTA DHIDI YA NDANDA UWANJA WA TAIFA
kiungo : YANGA YASHINDWA KUFURUKUTA DHIDI YA NDANDA UWANJA WA TAIFA

soma pia


YANGA YASHINDWA KUFURUKUTA DHIDI YA NDANDA UWANJA WA TAIFA

Na  Agness Francis, Globu ya Jamii. 

TIMU ya Yanga imetoshana nguvu na Ndanda FC 'wanakuchele' kwa kushindwa kupata alama 1 nyumbani kwa kutoka sare ya mabao 1-1 katika mchezo uliopigwa katika dimba la Taifa Jijini Dar es Salaam.

Mtanange huo wa aina yake ulioanza majira ya saa moja usiku na kila upande wakicheza kwa kukamiana kutafuta magoli ya ushindi ambapo kwa kipindi cha kwanza dakika 15 za mapema tu Ndanda anapata goli la kuongoza kupitia kwa mchezaji wake Vitalis Mayanga alieingiza Mpira kimnyani na kutikisa nyavu za Yanga. 

Wachezaji walionekana kuinuka zaidi wakishambuliana kwa kila upande ukiitaji matokeo zaidi lakini mpira uligeuka kwa upande wa  Yanga kuwashambulia wapinzani wao na dakika ya 24 Jafari Mohamed anaindikia Yanga goli la kusawazisha kwa pasi iliyopigwa na Ibrahim Ajibu, Ambapo wachezaji wa Yanga walionekana kupata nguvu kwa kufanya mashambulizi katika lango la Ndanda ambayo hayakuleta matokeo,na mpaka wachezaji wanaenda mapumzikoni matokeo yalikuwa ni 1-1.
Kipindi cha pili kilianza kwa timu zote mbili kukamiana kutafuta magoli ya kuongoza ambapo wachezaji wa yanga walionekana kupata nafasi nyingi za kupata magoli lakini hawakuweza kuzitumia.

Vile vile hata kwa upande wa Ndanda ilikuwa hivyo kwa kupoteza nafasi walizopata, mpaka mpira dakika 90 umemalizika matokeo yalibakitkuwa 1-1.

Kocha mkuu wa kikosi cha Yanga Mwinyi Zakhera amesema Kuwa mechi ilikuwa ngumu sana na wachezaji walipambana lakini walishindwa kupata magoli,ambapo amesema watayafanyia kazi makosa waliyokosea. 

"Tumecheza sana Kwa kushambulia mpira lakini hatukuweza kushinda wachezaji walijaribu kucheza mashuti ya mbali na ya karibu lakini mpira haukuweza kuingia golini"amesema Zakhera. 

Naye kocha wa Ndanda FC Malale Khamis amezungumzia Siri ya mafanikio kwa kuweza kutoa sare ya pili,ambapo ya Kwanza alitoa na Simba SC uwanja wa Nangwanda sijaona.

"Tunatambua tunacheza na timu kubwa huwa tunaiandaa zaidi,hata hivyo nawapongeza wachezaji wangu Kwa kufata maelekezo ninayowaelekeza"amesema kocha Khamis.

Yanga akishuka nafasi ya Tatu alama 26 akiwa amefikisha michezo  10,Simba akiwa juu yake  michezo 11 alama 26,huku Azamfc wakijikita kileleni mwa ligi kuu Tanzania bara  (TPL) kwa pointi 30 michezo 12.


Hivyo makala YANGA YASHINDWA KUFURUKUTA DHIDI YA NDANDA UWANJA WA TAIFA

yaani makala yote YANGA YASHINDWA KUFURUKUTA DHIDI YA NDANDA UWANJA WA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YANGA YASHINDWA KUFURUKUTA DHIDI YA NDANDA UWANJA WA TAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/yanga-yashindwa-kufurukuta-dhidi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YANGA YASHINDWA KUFURUKUTA DHIDI YA NDANDA UWANJA WA TAIFA"

Post a Comment