MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AMTEMEBELA GAVANA WA BENKI KUU

MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AMTEMEBELA GAVANA WA BENKI KUU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AMTEMEBELA GAVANA WA BENKI KUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AMTEMEBELA GAVANA WA BENKI KUU
kiungo : MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AMTEMEBELA GAVANA WA BENKI KUU

soma pia


MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AMTEMEBELA GAVANA WA BENKI KUU

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Florence Luoga (katikati) akiwa katika mazungumzo na viongozi wa Benki ya CRDB, waliofika ofisini kwake mwishoni mwa wiki kwa lengo la kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji mpya, Abdulmajid Nsekela (kulia) aliyeambatana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo, Ally Laay (wa pili kulia) wengine pichani ni Manaibu Gavana, Dkt. Bernard Kibesse (kushoto) na Dkt. Julian Banzi.
Manaibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Bernard Kibesse (wa pili kushoto) na Dkt. Julian Banzi (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia) aliyeambatana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo, Ally Laay (kulia), baada ya kikao chao, kilichofanyika kwenye ofisi ya Gavana wa Benki Kuu, jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
Manaibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Bernard Kibesse (wa tano kushoto) na Dkt. Julian Banzi (wa nne kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa tano kulia) pamoja na ujumbe wa Benki hiyo.
Baadhi ya viongozi wa Benki ya CRDB wakipatiwa maelezo walipokuwa wakiangalia picha za Gavana mbalimbali waliopita.


Hivyo makala MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AMTEMEBELA GAVANA WA BENKI KUU

yaani makala yote MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AMTEMEBELA GAVANA WA BENKI KUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AMTEMEBELA GAVANA WA BENKI KUU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mkurugenzi-mtendaji-wa-benki-ya-crdb_4.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AMTEMEBELA GAVANA WA BENKI KUU"

Post a Comment