title : NEWZ ALERT:WAZIRI MBARAWA AMNG'OA MKURUGENZI MAMLAKA YA MAJI KIGOMA
kiungo : NEWZ ALERT:WAZIRI MBARAWA AMNG'OA MKURUGENZI MAMLAKA YA MAJI KIGOMA
NEWZ ALERT:WAZIRI MBARAWA AMNG'OA MKURUGENZI MAMLAKA YA MAJI KIGOMA
Na Editha Karlo, Blog ya jamii Kigoma.
WAZIRI wa Mji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa amemuondoa kwenye nafasi yake ya Ukurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mkoa wa Kigoma (KUWASA) Saimon Lupuga baada ya kutoridhishwa na utendaji kazi wake.
Mbarawa amefikia hatua hiyo baada ya malalamiko ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga kuwa mamlaka hiyo na Bonde la Mto Tanganyika pamoja na wahandisi wa maji hawatoshi kwenye nafasi zao kutokana na kufanya kazi kwa mazoea.
Kutokana na hatua hiyo Waziri Mbarawa amesema atamuagiza katibu Mkuu kuandika barua ya uhamisho wa Mkurugenzi huyo kurejeshwa Dar es Salaam kuanzia leo.

Mkurugenzi wa maji safi na taka Mkoa wa Kigoma(KUWASA)Saimon Lukuga akisikiliza maelekezo ya waziri wa maji(hayupo pichani)kwenye kikao kilichofanyika ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
Hivyo makala NEWZ ALERT:WAZIRI MBARAWA AMNG'OA MKURUGENZI MAMLAKA YA MAJI KIGOMA
yaani makala yote NEWZ ALERT:WAZIRI MBARAWA AMNG'OA MKURUGENZI MAMLAKA YA MAJI KIGOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT:WAZIRI MBARAWA AMNG'OA MKURUGENZI MAMLAKA YA MAJI KIGOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/newz-alertwaziri-mbarawa-amngoa.html
0 Response to "NEWZ ALERT:WAZIRI MBARAWA AMNG'OA MKURUGENZI MAMLAKA YA MAJI KIGOMA"
Post a Comment