ILI UPATE KITAMBULISHO CHA TAIFA LAZIMA UPITIE MCHUJO MKALI, SERIKALI IPO MAKINI KUEPUKA KUTOA KWA WAHAMIAJI HARAMU-WAZIRI LUGOLA

ILI UPATE KITAMBULISHO CHA TAIFA LAZIMA UPITIE MCHUJO MKALI, SERIKALI IPO MAKINI KUEPUKA KUTOA KWA WAHAMIAJI HARAMU-WAZIRI LUGOLA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ILI UPATE KITAMBULISHO CHA TAIFA LAZIMA UPITIE MCHUJO MKALI, SERIKALI IPO MAKINI KUEPUKA KUTOA KWA WAHAMIAJI HARAMU-WAZIRI LUGOLA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ILI UPATE KITAMBULISHO CHA TAIFA LAZIMA UPITIE MCHUJO MKALI, SERIKALI IPO MAKINI KUEPUKA KUTOA KWA WAHAMIAJI HARAMU-WAZIRI LUGOLA
kiungo : ILI UPATE KITAMBULISHO CHA TAIFA LAZIMA UPITIE MCHUJO MKALI, SERIKALI IPO MAKINI KUEPUKA KUTOA KWA WAHAMIAJI HARAMU-WAZIRI LUGOLA

soma pia


ILI UPATE KITAMBULISHO CHA TAIFA LAZIMA UPITIE MCHUJO MKALI, SERIKALI IPO MAKINI KUEPUKA KUTOA KWA WAHAMIAJI HARAMU-WAZIRI LUGOLA


Na Felix Mwagara, MOHA.

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema vitambulisho vya taifa vitatolewa kwa watanzania wenye sifa ambao watapita katika mchujo ili kuepusha kutoa kwa wahamiaji haramu.

Amesema mchujo huo unaofanywa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) upo makini ili kuhakikisha hakuna makosa yatakayofanywa wakati wa utoaji wa vitambulisho, hivyo wananchi wawe na uvumilivu wakati mchujo huo ukiendelea.

Waziri Lugola ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara aliyasema hayo leo, wakati alipokua anazungumza na mamia ya wananchi wa jimbo lake katika Kijiji cha Mwisenyi, Kata ya Butimba, Wilayani Bunda Mkoa wa Mara na kuwataka wapiga kura wake na Watanzania kwa ujumla wawe na subira wakati hatua za utambuzi na usajili zikiendelea kufanyika sehemu mbalimbali nchini.

“Hakuna Mtanzania mwenye sifa atakayekosa kitambulisho cha taifa, lakini lazima muwe na subira wakati zoezi la utambuzi wa watu gani wanaweza kupata vitambulisho hivi, na pia katika utambuzi tunapaswa kuwa makini sana kwasababu tusije tukapenyeza wahamiaji haramu wasiostahili na wao wakaweza kupata vitambulisho na baadaye tukaja kupata shida,” alisema Lugola.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola, akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mwisenyi, Kata ya Butimba, Jimbo la Mwibara, Wilayani Bunda Mkoa wa Mara, wakati Mbunge huyo alipofanya ziara katika kijiji hicho kusikiliza kero za wapigakura wake pamoja na kuwahamasisha kuanza maandalizi ya kilimo kwa kuwa msimu wa kilimo umeshafika. Na pia aliwataka wananchi hao waondoe hofu ya kutopata vitambulisho vya taifa kwani Watanzania wote wenye sifa watavipata vitambulisho hivyo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola, akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kamulebya, Kata ya Butimba, Jimbo la Mwibara, Wilayani Bunda Mkoa wa Mara, wakati Mbunge huyo alipofanya ziara katika kijiji hicho kusikiliza kero za wapigakura wake pamoja na kuwahamasisha kuanza maandalizi ya kilimo kwa kuwa msimu wa kilimo umeshafika. Na pia aliwataka wananchi hao waondoe hofu ya kutopata vitambulisho vya taifa kwani Watanzania wote wenye sifa watavipata vitambulisho hivyo
Mkazi wa Kijiji cha Kamulebya, Kata ya Butimba, Jimbo la Mwibara, Wilayani Bunda Mkoa wa Mara, Mzee Range, akimuuliza swali Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola (hayupo pichani), wakati Mbunge huyo alipofanya ziara katika kijiji hicho kusikiliza kero za wapigakura wake pamoja na kuwahamasisha kuanza maandalizi ya kilimo. Lugola aliwapa nafasi wananchi kutoa kero zao ndani ya Jimbo lake. Pia aliwataka wananchi hao waondoe hofu ya kutopata vitambulisho vya taifa kwani Watanzania wote wenye sifa watavipata vitambulisho hivyo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola (kulia), akimsikiliza Afisa Tarafa ya Kenkombyo, Rebeca Mdodo alipokua anatoa taarifa ya Tarafa yake kwa Waziri Lugola, kabla ya Mbunge huyo hajaanza kuzungumza na wananchi wa Kijiji cha Bulamba, Kata ya Butimba, Jimbo la Mwibara, Wilayani Bunda Mkoa wa Mara. Lugola ameanza ziara jimboni humo leo akisikiliza kero za wapigakura wake pamoja na kuwahamasisha kuanza maandalizi ya kilimo. Pia aliwataka wananchi hao waondoe hofu ya kutopata vitambulisho vya taifa kwani Watanzania wote wenye sifa watavipata vitambulisho hivyo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.



Hivyo makala ILI UPATE KITAMBULISHO CHA TAIFA LAZIMA UPITIE MCHUJO MKALI, SERIKALI IPO MAKINI KUEPUKA KUTOA KWA WAHAMIAJI HARAMU-WAZIRI LUGOLA

yaani makala yote ILI UPATE KITAMBULISHO CHA TAIFA LAZIMA UPITIE MCHUJO MKALI, SERIKALI IPO MAKINI KUEPUKA KUTOA KWA WAHAMIAJI HARAMU-WAZIRI LUGOLA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ILI UPATE KITAMBULISHO CHA TAIFA LAZIMA UPITIE MCHUJO MKALI, SERIKALI IPO MAKINI KUEPUKA KUTOA KWA WAHAMIAJI HARAMU-WAZIRI LUGOLA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/ili-upate-kitambulisho-cha-taifa-lazima.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ILI UPATE KITAMBULISHO CHA TAIFA LAZIMA UPITIE MCHUJO MKALI, SERIKALI IPO MAKINI KUEPUKA KUTOA KWA WAHAMIAJI HARAMU-WAZIRI LUGOLA"

Post a Comment