JAFO ARIDHISHWA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA AFYA MPWAYUNGU

JAFO ARIDHISHWA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA AFYA MPWAYUNGU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAFO ARIDHISHWA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA AFYA MPWAYUNGU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAFO ARIDHISHWA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA AFYA MPWAYUNGU
kiungo : JAFO ARIDHISHWA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA AFYA MPWAYUNGU

soma pia


JAFO ARIDHISHWA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA AFYA MPWAYUNGU



Nteghenjwa Hosseah, Mpwayungu. 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo ameridhishwa na miundombinu ya Afya inayoendelea kujengwa katika kituo cha Afya Mpwayungu kilichopo katika Jimbo la Mtwera Wilayani Chamwino.

Jafo ameonyeshwa kuridhishwa kwake alipokwenda kutembelea kituo hicho na kukagua ujenzi wa miundombinu ya Afya inayoendela ambapo kituo hicho ni miongoni mwa vituo vya Afya Nchini vilivyopokea Fedha Tsh Mil 400 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Maabara, Upasuaji, chumba cha kuhifadhia maiti pamoja na nyumba ya mganga.

“Mmewatendea haki wananchi wa Mpwayungu kituo hiki mimejengwa kwa kiwango kinachostahili nina uhakika na huduma zitakazotolewa hapa ni za uhakika na ile adha waliyokuwa wanapata wananchi ya kutembea umbali mrefu wa kufuata huduma za upasuaji sasa wataweza kuzipata hapa hapa” alisema Jafo.Wakati huo huo Waziri Jafo alimuelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chamwino kutafuta Fedha kwa ajili ya kukamilisha vitu vidogo vidogo ambavyo havijakamilika katika majengo mapya yaliyojengwa.

Naye Mbunge wa Mtera Mhe. Livingstone Lusinde amesema anaishukuru Serikali ya awamu ya Tano kwa kuona na kujali shida za wananchi wa Mpwayungu kwa kuwapelekea fedha kwa ajili ya uboreshaji wa Kituo cha Afya.Kituo hiki kinahudumia wananchi wengi sana wa Mpwayungu na maeneo ya jirani hivyo kwa kupata majengo haya mapya yatasaidia katika kutoa huduma ambazo hapo awali zilizkua hazipatikani kutokana na uhaba wa majengo na vifaa amesema Lusinde.

Naye Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino Bi. Asteria Mpota amesema kuwa ujenzi wa miundombinu ya Afya imefikia asilimia 95 na kuwa ameshakamilisha mchakato wa kuleta watumishi wapya watakaongeza nguvu katika utoaji wa huduma za Afya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo(katikati) akiwasili katika kituo cha Afya Mpwayungu kilichopo katika Jimbo la Mtera Wilayani Chamwino ambacho ni miongoni mwa Vituo vilivyopokea Tsh Mil. 400 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Afya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo(katikati) akikagua ujenzi wa Kituo cha Afya Mpwayungu wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Chamwino.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo(katikati) akizungumza na wananchi wa Mpwayungu(hawapo pichani) wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Chamwino.


Hivyo makala JAFO ARIDHISHWA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA AFYA MPWAYUNGU

yaani makala yote JAFO ARIDHISHWA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA AFYA MPWAYUNGU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAFO ARIDHISHWA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA AFYA MPWAYUNGU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/jafo-aridhishwa-na-ujenzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAFO ARIDHISHWA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA AFYA MPWAYUNGU"

Post a Comment