title : Mfuko wa PSPF Wakabidhi Mashuka Kwa Wodi ya Watoto Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar
kiungo : Mfuko wa PSPF Wakabidhi Mashuka Kwa Wodi ya Watoto Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar
Mfuko wa PSPF Wakabidhi Mashuka Kwa Wodi ya Watoto Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar
Maafisa wa Mfuko wa PSPF kulia Faidha Khatau na Hazina Konde wakimkabidhi mashukaka Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Dr Ali Salum Ali anayefutia ni Mkurugenzi Utawala na Uendeshaji Dr. Abubakar Khamis Hamadi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa jengo jipya wa Hospitali ya Watoto Mnazi mmoja PSPF imekabidhi mashuka 75 kwa ajili ya wodi za watoto katika hospitali hiyo Kuu Zanzibar ikiwa ni moja ya kusaidia Jamii.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Dr. Ali Salum Ali akipokea mashuka kutoka kwa Maafisa wa Mfuko wa PSPF Tawi la Zanzibar Bi Hazina Konde (katikati) na Afisa Mkuu wa Tawi la Zanzibar PSPF Bi. Faidha Thatau wakikabidhi mashuka hayo kwa ajili ya matumizi ya Wodi ya Watoto katika hospitali ya Taifa ya Mnazi Mmoja Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika majengo mapya wa hospitali hiyo Zanzibar.
Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa PSPF Tawi la Zanzibar Bi Faidha Thatau akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi mashuka kwa Uongozi wa Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar. Mfuko wa PSPF hutowa huduma za mafao mbalimbali kwa Wanachama wake Bima ya Afya kwa wateja wao.
Maafisa Wafawidhi wa PSPF Tawi la Zanzibar wakitandika kitanda katika moja ya vitanda katika Wodi ya Watoto Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar baada ya kukabidhi mashuka hayo 75 kwa ajili ya hospitali hiyo ya Watoto Zanzibar. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala Mfuko wa PSPF Wakabidhi Mashuka Kwa Wodi ya Watoto Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar
yaani makala yote Mfuko wa PSPF Wakabidhi Mashuka Kwa Wodi ya Watoto Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mfuko wa PSPF Wakabidhi Mashuka Kwa Wodi ya Watoto Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mfuko-wa-pspf-wakabidhi-mashuka-kwa_1.html
0 Response to "Mfuko wa PSPF Wakabidhi Mashuka Kwa Wodi ya Watoto Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar"
Post a Comment