SHONZA: SERIKALI ITAENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WASANII KUKUZA SOKO LA TASNIA YA SANAA

SHONZA: SERIKALI ITAENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WASANII KUKUZA SOKO LA TASNIA YA SANAA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHONZA: SERIKALI ITAENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WASANII KUKUZA SOKO LA TASNIA YA SANAA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHONZA: SERIKALI ITAENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WASANII KUKUZA SOKO LA TASNIA YA SANAA
kiungo : SHONZA: SERIKALI ITAENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WASANII KUKUZA SOKO LA TASNIA YA SANAA

soma pia


SHONZA: SERIKALI ITAENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WASANII KUKUZA SOKO LA TASNIA YA SANAA

Na Mwandishi Wetu,MAELEZO-Bagamoyo

NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza amesema Serikali itaendelea kuwajengea uwezo, umahiri na ubunifu wasanii wa Tanzania kupitia Mradi wa Utambuzi wa Wasanii wa Sanaa za Ufundi (TASIP) ili kukuza soko la tasnia hiyo katika ngazi ya kitaifa na kimataifa.

Akifunga Tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, Wilayani Bagamoyo, Mkoani Pwani jana (Jumamosi Oktoba 27, 2018), Shonza alisema malengo ya Serikali ya Awamu ya Tano ni kuhakikisha kuwa tasnia ya sanaa nchini inapiga hatua kubwa zaidi na kuwafanya wasanii kunufaika na kazi zao.

Aliongeza kwa kuzingatia kuwa Wizara yake inasimamia na kutekeleza sera ya sanaa nchini, Serikali itahakikisha kuwa kuipitia mradi wa TASIP unawafikia na kuwatambua wasanii wote nchini na kuwawezesha kuwa na utambulisho rasmi utawaozesha kupata mitaji na mikopo ya kuendesha shughuli zao.

“Mwaka jana nilizindua mradi huu wa TASIP na mwaka huu tumeanza kushuhudia mafanikio makubwa kupitia program hii, kwa kuwa wapo baadhi ya wasanii waliotambuliwa na kusajiliwa na wameanza kupata mikopo kutoka mabenki hatua inayowezesha kupata kutatua baadhi ya changamoto katika kuendesha shughuli zao” alisema Shonza.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mjasiriamali wa sanaa za uchongaji, Ras Jeshi Beku alipotembelea banda la Msanii huyo wakati wa kufunga tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo jana Jumamosi Oktoba 27, 2018, Wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. 
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kulia), akitazama kikoi kilitengenezwa na Msajiriamali Esther Mwita alipotembelea banda la Msanii huyo wakati wa kufunga tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo jana Jumamosi Oktoba 27, 2018, Wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. 
Naibu Waziri wa Habari, Utanmaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akitazama moja shati lilitengtenezwa na Mjasiriamali Monica Matemba alipotembelea banda la Mjasiriamali huyo wakati wa kufunga tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo jana Jumamosi Oktoba 27, 2018, Wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. 

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akitazama chungu kilitengenezwa na mmoja wa Wajasiariamali alipotembelea banda la Mjasiriamali huyo wakati wa kufunga tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo jana Jumamosi Oktoba 27, 2018, Wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. 



Hivyo makala SHONZA: SERIKALI ITAENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WASANII KUKUZA SOKO LA TASNIA YA SANAA

yaani makala yote SHONZA: SERIKALI ITAENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WASANII KUKUZA SOKO LA TASNIA YA SANAA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHONZA: SERIKALI ITAENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WASANII KUKUZA SOKO LA TASNIA YA SANAA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/shonza-serikali-itaendelea-kuwajengea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHONZA: SERIKALI ITAENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WASANII KUKUZA SOKO LA TASNIA YA SANAA"

Post a Comment