title : SIMIYU YAJIPANGA KIMKAKATI KUONGEZA KIWANGO CHA UFAULU KWENYE ELIMU
kiungo : SIMIYU YAJIPANGA KIMKAKATI KUONGEZA KIWANGO CHA UFAULU KWENYE ELIMU
SIMIYU YAJIPANGA KIMKAKATI KUONGEZA KIWANGO CHA UFAULU KWENYE ELIMU
Na Stella Kalinga, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu
Mkoa wa Simiyu umejipanga kimkakati katika kuhakikisha unaongeza ufaulu kwenye Elimu na kuwa miongoni mwa mikoa inayofanya vizuri Kitaifa kutoka mahali ulipo sasa, kwenda kwenye nafasi ya tarakimu moja(single digit) yaani nafasi ya kwanza hadi ya tisa.
Hayo yalibainishwa katika kikao maalum kilichofanyika jana Mjini Bariadi kati ya Viongozi na Watendaji wa Idara ya Elimu ngazi ya Mkoa, Wilaya, Kata na baadhi ya walimu (mahiri) ambao walifanya vizuri katika masomo yako kwenye Matokeo ya mitihani ya Kitaifa mwaka 2017, kilichofanyika jana Mjini Bariadi.
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Ndg.Jumanne Sagini amewataka walimu pamoja na watendaji wengine wa idara ya Elimu kuongeza bidii katika maeneo yao ili waweze kuufikisha mkoa katika nafasi ya tarakimu moja (single digit) kwa kuwa sababu, uwezo na nia ya kufika hapo ipo.
“Watu wa Sekta ya elimu Ombi langu kwenu wakati tukiwa tunajipongeza kuwa wa 14 katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 2017 tudhamirie kuongeza bidii ili tuingia kwenye ‘single digit’, sababu za kuingia kwenye ‘single digit’ zipo, uwezo upo kwa kuwa ninyi mpo na nia ya Simiyu kuonekana juu tunayo” alisema Sagini.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka akizungumza na Viongozi na Watendaji wa Idara ya Elimu ngazi ya Mkoa, Wilaya, Kata na baadhi ya walimu (mahiri) ambao walifanya vizuri katika masomo yako kwenye Matokeo ya mitihani ya Kitaifa mwaka 2017, katika kikao kilichofanyika jana Mjini Bariadi.
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Jumanne Sagini akizungumza na Watendaji wa Idara ya Elimu ngazi ya Mkoa, Wilaya, Kata na baadhi ya walimu (mahiri) ambao walifanya vizuri katika masomo yako kwenye Matokeo ya mitihani ya Kitaifa mwaka 2017, katika kikao kilichofanyika jana Mjini Bariadi.
Afisa Elimu wa Mkoa wa Simiyu, Mwl.Julius Nestory akizungumza na Watendaji wa Idara ya Elimu ngazi ya Mkoa, Wilaya, Kata na baadhi ya walimu (mahiri) ambao walifanya vizuri katika masomo yako kwenye Matokeo ya mitihani ya Kitaifa mwaka 2017, katika kikao kilichofanyika jana Mjini Bariadi..
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (wa tano kulia) akiwa katika picha ya pamoja na walimu mahiri kwenye masomo mbalimbali katika Mitihani ya Kitaifa mwaka 2017 mara baada ya kikao cha Viongozi na Watendaji wa Idara ya Elimu ngazi ya Mkoa, Wilaya, Kata na walimu hao, kumalizika jana mjini Bariadi.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala SIMIYU YAJIPANGA KIMKAKATI KUONGEZA KIWANGO CHA UFAULU KWENYE ELIMU
yaani makala yote SIMIYU YAJIPANGA KIMKAKATI KUONGEZA KIWANGO CHA UFAULU KWENYE ELIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMIYU YAJIPANGA KIMKAKATI KUONGEZA KIWANGO CHA UFAULU KWENYE ELIMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/simiyu-yajipanga-kimkakati-kuongeza.html
0 Response to "SIMIYU YAJIPANGA KIMKAKATI KUONGEZA KIWANGO CHA UFAULU KWENYE ELIMU"
Post a Comment