title : MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA
kiungo : MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA
MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akimsikiliza maelezo kutoka kwa Wafanyakazi wa kampuni iliyojenga reli ya mwendokasi ya Yapi Markez jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa reli hiyo.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo pamoja na baadhi ya wanajeshi wakiangalia jinsi mataaluma yanavyotengenezwa katika kituo cha Soga.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akizungumza na waandishi wa habari katika kituo cha soga mara baada ya kutembelea na kukagua jinsi mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa standard george.
Baadhi ya mataaluma kushoto yakiwa tayari kwa kutandikwa reli ya kisasa ya standard gaurge.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania(TRC) Masanja Kadogosa akitoa maelezo kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo wakati alipoembelea ujenzi wa reli ya kisasa ya standarge gaurge.
Sehemu ya reli ambayo imekamilika.
Hivyo makala MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA
yaani makala yote MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/mkuu-wa-majeshi-atembelea-mradi-wa.html
0 Response to "MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA"
Post a Comment