title : KAMATI YA UKUMWI YAKUTANA NA WIZARA YA UJENZI KUJADILI UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA NCHINI
kiungo : KAMATI YA UKUMWI YAKUTANA NA WIZARA YA UJENZI KUJADILI UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA NCHINI
KAMATI YA UKUMWI YAKUTANA NA WIZARA YA UJENZI KUJADILI UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA NCHINI
Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI ikiwa katika kikao Jijini Dodoma ambapo leo wamepokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuhusu Udhibiti wa Uingizaji wa Dawa za Kulevya kwenye maeneo ya Bandari, Fukwe, Barabara Kuu na Viwanja vya Ndege.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI, Mhe. Oscer Mukasa akisisitiza jambo kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Atashasta Nditiye. Kamati hiyo leo ilipokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuhusu Udhibiti wa Uingizaji wa Dawa za Kulevya kwenye maeneo ya Bandari, Fukwe, Barabara Kuu na Viwanja vya Ndege katika kikao kilichofanyika Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Atashasta Nditiye akijibu hoja za Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI katikati ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Oscer Mukasa na pembeni ni Katibu wa Kamati Ndg .Agnes Nkwera. Kamati ya Masuala ya UKIMWI imepokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuhusu Udhibiti wa Uingizaji wa Dawa za Kulevya kwenye maeneo ya Bandari, Fukwe, Barabara Kuu na Viwanja vya Ndege katika kikao kilichofanyika leo Jijini Dodoma.
Hivyo makala KAMATI YA UKUMWI YAKUTANA NA WIZARA YA UJENZI KUJADILI UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA NCHINI
yaani makala yote KAMATI YA UKUMWI YAKUTANA NA WIZARA YA UJENZI KUJADILI UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA UKUMWI YAKUTANA NA WIZARA YA UJENZI KUJADILI UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/kamati-ya-ukumwi-yakutana-na-wizara-ya.html
0 Response to "KAMATI YA UKUMWI YAKUTANA NA WIZARA YA UJENZI KUJADILI UINGIZWAJI WA DAWA ZA KULEVYA NCHINI"
Post a Comment