KESI YA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TBC KUSIKILIZWA TENA OKTOBA 16 MWAKA HUU

KESI YA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TBC KUSIKILIZWA TENA OKTOBA 16 MWAKA HUU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KESI YA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TBC KUSIKILIZWA TENA OKTOBA 16 MWAKA HUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KESI YA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TBC KUSIKILIZWA TENA OKTOBA 16 MWAKA HUU
kiungo : KESI YA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TBC KUSIKILIZWA TENA OKTOBA 16 MWAKA HUU

soma pia


KESI YA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TBC KUSIKILIZWA TENA OKTOBA 16 MWAKA HUU

Na Karama Kenyunko, Blogu ya Jamii.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Oktoba 16, 2018 itaendelea kusikiliza utetezi wa aliyekuwa Makurugenzi mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili kwa upande wa mashtaka kumuhoji dhidi ya utetezi alioutoa.

Tido ambaye anakabiliwa na mashtaka manne ya kutumia madaraka vibaya na moja la kuisababishia Serikali hasara ya Sh887.1 milioni, alitoa utetezi wake mahakamani hapo Septemba 20, mwaka huu.

Katika utetezi wake, Mhando aliongozwa na mawakili wake, Dk Ramadhani Maleta na Martin Matunda.

Mapema, wakili wa serikali, Emmanuel  Mtumbe aliieleza mahakama kuwa, kesi hiyo Oktoba 9, 2018 ilikuja kwa ajili ya upande wa mashtaka Kuanza kumuhoji Mhando lakini imeshindikana kwa kuwa Wakili, Leonard Swai kutoka Takukuru anayesikiliza kesi hiyo ana udhuru.

 Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma  Shaidi ameahirisha kesi hiyo hadi Oktoba 16 mwaka huu ambapo Tido ataanza kuulizwa maswali na upande wa mashtaka dhidi ya utetezi aliotoa.


Hivyo makala KESI YA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TBC KUSIKILIZWA TENA OKTOBA 16 MWAKA HUU

yaani makala yote KESI YA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TBC KUSIKILIZWA TENA OKTOBA 16 MWAKA HUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KESI YA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TBC KUSIKILIZWA TENA OKTOBA 16 MWAKA HUU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/kesi-ya-aliyekuwa-mkurugenzi-wa-tbc.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KESI YA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TBC KUSIKILIZWA TENA OKTOBA 16 MWAKA HUU"

Post a Comment