title : MATUKIO KATIKA PICHA TIGO FIESTA 2018 ILIVYOFUNIKA DAR
kiungo : MATUKIO KATIKA PICHA TIGO FIESTA 2018 ILIVYOFUNIKA DAR
MATUKIO KATIKA PICHA TIGO FIESTA 2018 ILIVYOFUNIKA DAR

Mkali wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba aka King Kiba, akiwa stejini pamoja na madensa wake wakati wa Tamasha la Tigo Fiesta 2018 lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Mwanadada anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Bongo Flava Vanessa Mdee (katikati) akitoa burudani ya kufunga mwaka pamoja na madensa wake katika hitimisho la tamasha la Tigo Fiesta 2018 lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya mashabiki wa muziki wa kizazi kipya wakishangilia kundi la Weusi( hawapo pichani) wakati walipopanda jukwaani kutumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Msanii Chege Chigunda (kushoto) akitoa burudani ya kufunga mwaka kwenye hitimisho la tamasha la Tigo Fiesta 2018 lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Chid Benz, akiwapagawisha mamia ya mashabiki waliofika kushuhudia hitimisho la Tamasha la Tigo Fiesta ‘Champion’ lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Kundi la muziki wa kufoka foka (Hip Hop) la Weusi likitoa burudani ya kufunga mwaka katika hitimisho la tamasha la Tigo Fiesta 2018 lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Msanii Dogo Janja akitoa burudani ya kufunga mwaka kwenye hitimisho la tamasha la Tigo Fiesta 2018 lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA TIGO FIESTA 2018 ILIVYOFUNIKA DAR
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA TIGO FIESTA 2018 ILIVYOFUNIKA DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA TIGO FIESTA 2018 ILIVYOFUNIKA DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/matukio-katika-picha-tigo-fiesta-2018.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA TIGO FIESTA 2018 ILIVYOFUNIKA DAR"
Post a Comment