title : MAHAKAMA YAMWACHIA HURU MFANYABIASHARA KILUWA,
kiungo : MAHAKAMA YAMWACHIA HURU MFANYABIASHARA KILUWA,
MAHAKAMA YAMWACHIA HURU MFANYABIASHARA KILUWA,
*yaagiza fedha zake Milioni 90/- arudishiwe
*Ushahidi wa upande wa mashtaka ulikuwa umejaa hisia
Na Ripota Wetu, Globu ya jamii
MKURUGENZI wa Kampuni ya Kiluwa Steal Group. Co.ltd na Kiluwa Free Processing Zone Mohamed Kiluwa (50) aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la kutoa rushwa ya Sh.milioni 90 kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameshinda kesi baada ya upande wa mashtaka
kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake.
Hivyo Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo Desemba 24,2018 imemuchia imeamuru Kiluwa ambaye pia ni mfanyabiashara na kuagiza arudishuwe fedha zake Sh.milioni 90 anazodaiwa kutaka kutoa rushwa kwa Waziri Lukuvi.
Hukumu ya kesi hiyo imetolewa na hiyo Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Samweli Obas ambapo amesema katika kifungu cha sheria namba 15(1)B(2) Cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na rushwa ili mtu atiwe hatiani lazima vitu viwili vithibitike ikiwemo nia ovu ya kutoa fedha na kutoa fedha hizo ili
afanye au aache kufanya jambo fulani.
Pia amesema katika mashahidi wa upande wa mashitaka, Shahidi wa watu watano na vielelezo saba vilivyowalishwa mahakamani hapo vilikuwa vya hisia, hivyo Mahakama haiwezi kumtia hatiani mshitakiwa kwa ushahidi huo.Amefafanua ushahidi wote wa upande wa mashitaka umekaa kihisia, mlalamikaji alikuwa anahisi kupewa rushwa, hivyo hata kama hisia inanguvu kiasi gani Mahakama haiwezi kumtia hatiani mshitakiwa kwa hisia tu.
"Katika ushahidi wao, upande wa mashtaka ulidai kuwa kwa nia ovu mshtakiwa alimpatia Waziri kiasi hicho cha fedha, , hivyo miongoni mwa maswali aliyojiuliza ni kama mshtakiwa alikuwa na nia ovu ya kumpatia Waziri fedha hizo kama kishawishi ama zawadi au malipo ya kufanya jambo fulani,"amesema.
Aidha alijiuliza swali jingine kuwa ni kweli mshtakiwa alitoa fedha hizo kwa Waziri kwa sababu akiachia mlalamikaji mashahidi wengine wa upande wa mashitaka walitoa ushahidi wao walioambiwa na mlalamikaji au kusikiliza audio CD iliyowasilishwa mahakamani hapo.
Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo Desemba 24,2018 imemuachia huru mfanyabiashara Mohamed Kiluwa (50) (Pichani kushoto) ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Kiluwa Steal Group. Co.ltd na Kiluwa Free Processing Zone aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la kutoa rushwa ya Sh. Milioni 90 kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi baaada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha shtaka hilo la rushwa dhidi yake.
Mfanyabiashara Mohamed Kiluwa (50) (Pichani kulia) ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Kiluwa Steal Group. Co.ltd na Kiluwa Free Processing Zone akiwa na Wakili wake Imani Madega wakitoka Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam baada ya kuachiwa huru katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kudaiwa kutoa rushwa ya Sh. Milioni 90 kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi,ambapo upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha shtaka hilo la rushwa dhidi yake.
Mfanyabiashara Mohamed Kiluwa (50) akiwa na Mkewe wakipeana mikono kutoka kwa ndugu na jamaa,mara baada ya kutoka Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam baada ya kuachiwa huru katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kudaiwa kutoa rushwa ya Sh. Milioni 90 kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi,ambapo upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha shtaka hilo la rushwa dhidi yake.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>

Hivyo makala MAHAKAMA YAMWACHIA HURU MFANYABIASHARA KILUWA,
yaani makala yote MAHAKAMA YAMWACHIA HURU MFANYABIASHARA KILUWA, Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAHAKAMA YAMWACHIA HURU MFANYABIASHARA KILUWA, mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/mahakama-yamwachia-huru-mfanyabiashara.html
0 Response to "MAHAKAMA YAMWACHIA HURU MFANYABIASHARA KILUWA,"
Post a Comment