title : BASATA YAWARUHUSU DIAMOND NA RAYVAN KUFANYA SHOO NJE YA NCHI
kiungo : BASATA YAWARUHUSU DIAMOND NA RAYVAN KUFANYA SHOO NJE YA NCHI
BASATA YAWARUHUSU DIAMOND NA RAYVAN KUFANYA SHOO NJE YA NCHI
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
BARAZA la Sanaa la Taifa ( BASATA) limewaruhusu wasanii Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' na Raymond Mwakyusa 'Rayvan' kufanya maonesho nje ya nchi.
Wakitoa taarifa hiyo leo, BASATA wamesema kuwa wasanii hao walikuwa wameshaingia mikataba inayofahamika katika nchi mbili za jirani kabla ya adhabu ya BASATA kutolewa.
Wamesema kuwa, kwa kuzingatia mahusiano mazuri kati ya nchi yetu na nchi nyingine lakini pia kwa upande wa mashabiki tayari walikuwa wameshakata tiketi za maonesho hayo.
Kupitia taarifa hiyo BASATA limewaondolea katazo la maonesho hayo tajwa tu na kubakiza katazo la ndani ya nchi mpaka pale Diamond na wenzake watakapoonesha mabadiliko chanya kitabia.
Mbali na hiyo, BASATA limeonekana kutokuridhishwa na baadhi ya waheshimiwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kuuim ana kucheza wimbo huo kwa bashasha na nderemo ukiwa tayari umeshafungiwa bila kujali athari zake kwa vijana na watanzania kwa ujumla.
BASATA wanawasiliana na vyombo vya ulinzi na usalama kuwa nyimbo zote zilizofungiwa haziruhusiwi kwa namna yoyote kutumiwa na jamii.

Hivyo makala BASATA YAWARUHUSU DIAMOND NA RAYVAN KUFANYA SHOO NJE YA NCHI
yaani makala yote BASATA YAWARUHUSU DIAMOND NA RAYVAN KUFANYA SHOO NJE YA NCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BASATA YAWARUHUSU DIAMOND NA RAYVAN KUFANYA SHOO NJE YA NCHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/basata-yawaruhusu-diamond-na-rayvan.html
0 Response to "BASATA YAWARUHUSU DIAMOND NA RAYVAN KUFANYA SHOO NJE YA NCHI"
Post a Comment