SINGIDA UNITED YAITISHIA SIMBA LIGI KUU.

SINGIDA UNITED YAITISHIA SIMBA LIGI KUU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SINGIDA UNITED YAITISHIA SIMBA LIGI KUU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SINGIDA UNITED YAITISHIA SIMBA LIGI KUU.
kiungo : SINGIDA UNITED YAITISHIA SIMBA LIGI KUU.

soma pia


SINGIDA UNITED YAITISHIA SIMBA LIGI KUU.


Kikosi cha Singida United ambacho msimu huu bado hakijarejea kwenye ubora wake kimetamba kuyatumia mashindano ya kombe la Shirikisho kuwa sehemu ya maandalizi ya kuiwinda Simba.

Singida United watacheza na Simba Jumamosi katika uwanja wa Taifa, ratiba yao ilirudishwa nyuma na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutokana na uwanja kuwa na matumizi mengine.

Ofisa habari wa Singida United, Cales Katemana amesema watatumia mashindano ya Shirikisho kuandaa kikosi kitakachoisimamisha Simba uwanja wa Taifa kwenye mchezo wa Ligi Kuu.

"Tuna kikosi imara na makini ambacho kimeanza kuonyesha maajabu kwenye michuano ya kombe la Shirikisho ambapo tumefanikiwa kuvuka hatua ya kwanza kwa ushindi wa mabao 2-0 Arusha United.

"Ni muda wetu kutumia fursa ya mashindano haya kuwaandaa wachezaji wetu kuelekea katika mchezo wetu wa Ligi Kuu dhidi ya Simba, tunajua haitakuwa rahisi ila tunahitaji pointi tatu," alisema Katemana.

Singida United wana pointi 19 wakiwa wamecheza michezo 16 na wameshinda michezo 5 sare 4 na wamepoteza michezo 7 wakiwa nafasi ya 12.



Hivyo makala SINGIDA UNITED YAITISHIA SIMBA LIGI KUU.

yaani makala yote SINGIDA UNITED YAITISHIA SIMBA LIGI KUU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SINGIDA UNITED YAITISHIA SIMBA LIGI KUU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/singida-united-yaitishia-simba-ligi-kuu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SINGIDA UNITED YAITISHIA SIMBA LIGI KUU."

Post a Comment