title : BENKI KUU YATOA MAFUNZO KWA WABUNGE
kiungo : BENKI KUU YATOA MAFUNZO KWA WABUNGE
BENKI KUU YATOA MAFUNZO KWA WABUNGE
Kushoto ni Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akifuatilia kwa makini maelezo ya mwezeshaji katika Mafunzo yaliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Dkt. Yamungu Kayandabila akizungumza katika Mafunzo yaliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania kwa Wabunge wote yaliyofanyika hii leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Sehemu ya Wabunge wakifuatilia Mafunzo yaliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania kwa Wabunge wote yaliyofanyika hii leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Hivyo makala BENKI KUU YATOA MAFUNZO KWA WABUNGE
yaani makala yote BENKI KUU YATOA MAFUNZO KWA WABUNGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI KUU YATOA MAFUNZO KWA WABUNGE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/benki-kuu-yatoa-mafunzo-kwa-wabunge.html
0 Response to "BENKI KUU YATOA MAFUNZO KWA WABUNGE"
Post a Comment