title : Pondeza Foundation yaja na Tamasha la Mayatima kila Mwezi 10 Mfunguo tatu
kiungo : Pondeza Foundation yaja na Tamasha la Mayatima kila Mwezi 10 Mfunguo tatu
Pondeza Foundation yaja na Tamasha la Mayatima kila Mwezi 10 Mfunguo tatu
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Mwenyekiti wa Taasisi ya Pondeza Foundation ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza kuhusiana na Tamasha la Mayatima ambalo hufanyika kila ifikapo Mwezi kumi(10) Mfunguo Tatu katika Hoteli ya Maruhubi Beach Villas mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Pondeza Foundation ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Tamasha la Mayatima ambalo hufanyika kila ifikapo Mwezi kumi(10)Mfunguo Tatu katika Hoteli ya Maruhubi Beach Villas mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Pondeza Foundation ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Tamasha la Mayatima ambalo hufanyika kila ifikapo Mwezi kumi(10)Mfunguo Tatu katika Hoteli ya Maruhubi Beach Villas mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR
Hivyo makala Pondeza Foundation yaja na Tamasha la Mayatima kila Mwezi 10 Mfunguo tatu
yaani makala yote Pondeza Foundation yaja na Tamasha la Mayatima kila Mwezi 10 Mfunguo tatu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Pondeza Foundation yaja na Tamasha la Mayatima kila Mwezi 10 Mfunguo tatu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/pondeza-foundation-yaja-na-tamasha-la.html
0 Response to "Pondeza Foundation yaja na Tamasha la Mayatima kila Mwezi 10 Mfunguo tatu"
Post a Comment