title : MKUU WA WILAYA YA HAI,OLE SABAYA AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA
kiungo : MKUU WA WILAYA YA HAI,OLE SABAYA AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA
MKUU WA WILAYA YA HAI,OLE SABAYA AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA
Mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mafunzo kwa Askari wa Jeshi la Akiba ,mafunzo yanayofanyika Masama ,Machame wilayani Hai.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakiwa wameketi tayari kumsikiliza mgeni rasmi katika ufunguzi wa mafunzo kwa askari wa jeshi la akiba.
Baadhi ya Wakufunzi na viongozi katika usimamizi wa mafunzo hayo kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya aksalimiana na washiriki wa mafunzo hayo mara baada ya kufungua rasmi.
Washiriki wa Mafunzo wakianza rasmi mazoezi kwa vitendo ya kuwaandaa kuwa wakakamavu.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini.
Hivyo makala MKUU WA WILAYA YA HAI,OLE SABAYA AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA
yaani makala yote MKUU WA WILAYA YA HAI,OLE SABAYA AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA WILAYA YA HAI,OLE SABAYA AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mkuu-wa-wilaya-ya-haiole-sabaya-afungua.html
0 Response to "MKUU WA WILAYA YA HAI,OLE SABAYA AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA"
Post a Comment